kwa vidume tu!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Wakulu, fikiria umeoa na una watoto..!!
Mnakwaruzana na mkeo na katika kujibizana mkeo akakuambia" wajiona mwanaume... unadhani hata hao watoto ni wa kwako?"

Ukisikia kauli hiyo utafanyaje na tayari hapo mnagombana na mwenzako??!:A S tongue:
 
Du! kauli kali sana hiyo...yawezekana amesema hivo kwa harisa tu kukukomoa. Maneno yote yanayotolewa na mtu akiwa na hasira siyaamini sana.

Tulizeni hasira halafu siku umuulize ili akupe ukweli wa hilo swala la watoto.
 
anakusanya kiliicho chake na kuondoka instantly. Hapo hapahitaji ushahidi mwingine tena. Ni nafuu zaidi kuishi peke yako kuliko kuendelea kuwaona watoto ambao ulijua ni wako kumbe siyo wako. Kutokana na hasira unaweza kujikuta unaishia jela ya maisha. Ili kuondoa matatizo, ni bora aanze mbele on the spot.
 
.. namwambia asante kwa kunipunguzia majukumu ya kulea maana hata hivyo mi nnao wengine wanne hapo jirani..
 
Dah Mkuu hiyo statement ishasambaratisha ndoa iliyodumu kwa zaidi ya miaka 19,, ulikuwa ni ugomvi wa kawaida tu mke kakasirika kamropokea mume hayo maneno,, mume alichojibu na,,,,,,na mie nilikuwa nahisi kitu kama hicho nashukuru kwa kunihakikishia naenda kupata bia moja nikirudi nikute wewe na wanao mshafungasha na kuondoka,,, mpaka leo mama yule na mume wamekuwa kama paka na panya

kama ´ni wife kakuambia hivyo plz nivema ukaenda kucheki DNA ili ujiridhishe
 
Hiyo mbona ndogo tu. Mi namwambia hapa jirani kwa baba fulani nia wawili pale kwa shoga yako yule wa mwisho wangu, na hausgel aliyeondoka ni mjamzito na beseni la mtoto nimeshanunua.
 
hiyo mbona ndogo tu. Mi namwambia hapa jirani kwa baba fulani nia wawili pale kwa shoga yako yule wa mwisho wangu, na hausgel aliyeondoka ni mjamzito na beseni la mtoto nimeshanunua.

hapana ringo hapo hutakiwi kujibizana na mkeo kabisa...cha msingi ni kuondoka na kusubiri hasira zipungue ndio muulizane kistarabu na muende kwa wataalam wa dna kabisa ili kuondoa huu utata...maana usipotuliza jazba unaweza kumuulia mbali...na wewe ukazeekea jela!
 
Napiga magoti chini namshukuru Mungu! Namshukuru mke wangu kwa kunipa faida! Kisha yeye lazima aondoke ila watoto watabaki kwangu..................hapo takufa mtu akitaka kuwachukua!
Hao Mungua kaniap niwalee kama Yesu alivyolelewa na Joseph........ni wangu period!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom