Kwa vi tgs hivi tutaweza kujisomesha vyuo vikuu???

kikwakwa

Senior Member
Dec 20, 2011
105
12
Kuna habari kwamba watumishi wote wa serikali ambao tunahitaji kujiendeleza kielimu katika vyuo vikuu hatuna haki/nafasi tena ya kupata mikopo kutoka bodi ya mikopo,eti tusomeshwe na halmashauri tunazofanyia kazi au tujisomeshe,hivi jamani kwa vi TGS A,B,C NA D tutaweza kweli kutmiza hiyo kiu ya kupata degree?AMA KWELI KWASASA VIBARUA WA SERIKALI TUMEKWISHA.
 
Back
Top Bottom