kwa uvumi huu wa zoezi la sensa kuhusishwa na ufremanson halitafanikiwa kwa kiwango kikubwa.!

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,279
kweli tembea uone,huku maeneo ya inyonga wilaya mpya ya mkoa wa katavi,kuna watu wamewa hadaa wananchi kuwa zoezi la sensa ni agizo toka kwa fremanson!na majina yote yanayoorodheshwa yatapelekwa kule,hivyo wao ndio watakuwa wana chagua majina ya kuwatoa kafara kila watakapohitaji!hivyo watu wengi wamekuwa wagumu kujiandikisha!na kibaya zaidi kuna mchungaji anayejiita George,ambaye anadai aliongea na kanumba,juu ya ufremanson wa kanumba sasa hayo masimulizi,ambayo wengi wanayo kwenye simu,ndiyo yana watisha wa2!!na kama unavyojua mtu wa kijijini akishalishwa propaganda na shughuri pevu kumbadilisha.
 
Back
Top Bottom