Kwa uongozi na wanachama wa Chadema

Duh!
Hali ya hewa ya hapa naona imechafuka.
Ngoja nitoke kimya kimya.
 
Mawazo yako (mtazamo)

Hata ingekuwa dunia nzima inasema slaa, mimi ningesema BIG no!

"Happened to a priest left, he wanted more space to womanize, become an MP backed by "church denomination" failed miserably agains rulling party! crying foul play

Cannot be a hero by any intellectual standards...
NAAPA NA MUNGU AWE SHAHIDI;
Kwangu mimi Slaa ni shujaa,Mzalendo,Kiboko wa mafisadi,Anajua tulipo jikwaa na anaondoa kisiki ili tusijikwae tena,ni mcha Mungu,Kimbilio la walala hoi, ni taa gizani ni maji jangwani, i admire Dr Slaa jamani. Wote tuliogopa akawa front line vitani dhidi ya MAFISADI..... NK NK NK!
Wewe endelea na domo kaya
Kijiba cha roho, ufisadi, ubinafsi, ushetani, kaa chonjo wa kumzuia Dr Slaa hajazaliwa!
naendelea kuomba Mungu akuweke HAI Ili uone kwa macho yako watg wakishangilia kwa wimbo wa CDM mitaani vijijini na upeo wa uono wako Dogo!
KUMESHAPAMBAZUKA DOGO!
 
Kabla ujasema jaribu kufanya tafiti mbona marais wengi tu wanazo PhD za heshima,
President Museveni Honorary PhD kapewa 20. january 2010
President Obama Honorary PhD kapewa 7. may 2010
President Mahinda Rajapaksa Honorary PhD kapewa 6, feb 2010. Sri Lanka
Duu! Kaazi kweli kweli! Kwa nini angalau usisome vizuri uelewe alichoandika?! Hakuna anayekataa, marais wengi wanapewa u-dr. wa heshima lakini ni vilaza tu wanaokubali kuitwa kwa title hiyo kama hawakuipata darasani..
 
mkuu nashukuru kwa kunisaidia kumwelewesha huyo mtu
 
jamani humu ndani inaonekana wengi bado hawana phd ndo maana wanabakia kumtukana dr.kimsingi nashangaa vyuo vya kwetu hamumuongezei phd slaa kwa kukaa kimya mlivomuibia kura!abakie hivyo hivyo kwani anaongoza kundi kubwa la wanafalsafa na wanazuoni wanaoongoza mageuzi ya kweli! tanzania mpya i karibu kupatikana!
 
Duu! Kaazi kweli kweli! Kwa nini angalau usisome vizuri uelewe alichoandika?! Hakuna anayekataa, marais wengi wanapewa u-dr. wa heshima lakini ni vilaza tu wanaokubali kuitwa kwa title hiyo kama hawakuipata darasani..

Labda wewe mwenzangu umesoma vizuri tusaidie Title ya Iddi amin
 
Back
Top Bottom