Kwa ufupi: Bilal alikuwa aondoke CCM...

Siasa ni mchezo wa ajabu sana.Unakila aina ya mbwembwe na vituko vya ajabu.Hoja yangu ya msingi nikuwa nimeshangazwa na uamuzi wa Dr Bilal kukubali uteuzi huu...kukubali kuwa rubber stamp.SIkutarajia kama angekubali..
:washing:Hakukubali kirahisi rahisi wazee wa kazi waliingia kazini.....akawa hana jinsi zaidi ya kukubali yaishe!!
 
Sasa kama ndo hivyo JK kwanini puplicity inakuwa nayo kubwa kwamba anaweza? Kwa wanaojua penye matangazo mengi lazima huwa ni pabovu. Kizuri chajiuza chenyewe. i think we have very long way to go na mafisadi wanaongoza sasa kwa remoti kama bilal na JK wapo kwa RA si ndo mwisho wa CCM baadae?
 
Amekuwa ni chaguo lisilo chaguo; chaguo lililojichagua na kuchaguliwa. Ilikuwa ni "Urais au nothing". Bilali hakuwa na uamuzi wa kurudi bila ya kitu kinachokaribiana na urais. Uamuzi wa Shein kugombea Zanzibar umekuja baadaye sana baada ya kuona kuwa mtu pekee mwenye nguvu Zanzibar kuweza kumrithi Karume ni Bilal hao kina Nahodha na wenzake walikuwa ni wasindikizaji tu.

Hata hivyo Bilal kwa sababu wanazozijua wao alikuwa tayari anaigawa Zanzibar na kugombea kwake Zanzibar kungempa ushindi mwepesi tu Seif. Lakini hakuwa tayari kujitoa safari hii na alijua kabisa nguvu pekee anayoshindana nayo ni ya Rais wa Jamhuri ya Muungano.

Lakini alikuwa anajua vile vile kuwa JK ni dhaifu kwenye masuala magumu. Alijua JK hawezi kufanya kazi kukiwepo na dissent ya kweli ndani ya CCM, dissent ambayo kwa mara ya kwanza ingewapa ushindi rahisi zaidi Zanzibar. Lakini kilichoharibu ni wajumbe wa kutoka Zanzibar walioamua kuondoka juzi kwa hasira kurudi Zanzibar wakiwa na dhamira moja tu nayo ni kuhakikisha Shein hashindi visiwani.

Lakini JK ni mwanasiasa ambaye anatumia nafasi zinazojileta kuzuia migogoro, yuko tayari kumuachilia mtu wake wa karibu aanguke (kama linamletea yeye sifa) na kama kumleta karibu mtu ambaye ni tatizo kwake.

Sasa, Bilal ni chaguo lililojichagua; hawakumpa nafasi JK kumchagua mtu mwingine, asingeweza kumchagua mtu mwingine; hakukuwa na uwezekano wa kumchagua mtu mwingine.

Ni jinsi gani hawa wawili watafanya kazi? Ni jinsi gani wataweza kupatana?

Well.... Wamarekani wanasema... "Politics make strange bedfellows"..

Historia itaamua.

MM

History indeed.

JK knows how to make flags wave...... Just like a waving flag, a waving flag, a waving flag!!!

Wabongo ni bendera.....sikuzote chezesha upepo na watakwenda unakotaka.

JK sikupendi lakini hongera kwa kutuweza.
 
I once said, hawa wapinzani wetu wanahitaji bakora matakoni ili waende kwa kasi inayopasa! Look at some of them! Its disgusting, muone mzee wa kiraracha,waone CCJ, muone mzee wa kujaza watu mapesa mfukoni! Yaani njaaa tu, I despise you all!
You stink! CCM stinks, the whole lot stinks! Politics stinks. Dudes, we need find a way of getting through and overcoming our misery! We have been let down so many times. Sometimes nikikaa, nadhani tuwe na sera na ilani ya kitaifa. Ratiba maalum amboyo chama chochote kikiingia madarakani kitaitumikia na kuitekeleza badala ya kutegemea kila chama kuja na sera zake na malengo yake! The way I see it, wapinzani dont have a single sera, and the way things are, sera za CCM hazilengi kutupeleka kule tunakotaka kwenda leo, CCM inataka Watanzania wafike nchi ya ahadi kwa mafungu mafungu: Kwa sasa wanaanza kwanza wale wafanyabiashara wakubwa wakubwa, wakiungana na familia na viongozi, wanaungana na watendaji wa ngazi za juu serikalini na mwishowe kabisaaaaa tutafuata wananchi wakawaida!
Mtanzania, akili imo kichwani mwako! I always admire the courage in Kenyanys: The way wanavyo piga kampeni kuwaeleza wananchi uzuri ama ubaya wa katiba mpya, lakini angalia hapa kwetu, nani mwenye dhamira safi mwenye kuthubutu kufanya hivyo? Yuko wapi?
Ole wenu ninyi mnaokula na kukejeli wanalala njaa, maana iko siku mtalia ninyi na wanenu.Wapo wengi wenu mnaotamani kutuona watanzania wenzenu tukuwa watumwa katika nchi yetu wenyewe, ole wenu pia!
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika
 
Mi najaribu kuangalia kiasi cha pesa kilichotumika katika Mkutano huo na hali halisi ya mwananchi wa kawaida. Na mbaya zaidi wanaonyesha matumizi yao mabaya ktk karibia tv zote as if its a right thing to do in such a poor country, shame on them kwa kuwaachia wajawazito wafe kwa kukosa hospitali karibu yao,watoto wapate utapimlo kwa kuwa wazazi hawana ata fedha ya kuwanunulia chakula,etc
 
Jamani natafuta mtu aniunganishe na wazee wa chama ili "wamshinikize" mkuu anipe uwaziri mkuu. Wamwambie kuwa asiponichagua chama kitayumba sana. Maana naona mkuu anatishika kirahisi kwa mkwara wa wazee
 
Siasa ni mchezo wa ajabu sana.Unakila aina ya mbwembwe na vituko vya ajabu.Hoja yangu ya msingi nikuwa nimeshangazwa na uamuzi wa Dr Bilal kukubali uteuzi huu...kukubali kuwa rubber stamp.SIkutarajia kama angekubali..

sarcasm aside, tutacheza mdundiko sana kama u-laissez-faire wetu kwenye destiny ya Bongo utaendelea hivi. CCM kama chama siyo sera zake bali ni hegemony ya watu flani na interest zao. Instaed of the forward march, CCM inaturudisha kwenye mdundiko. Kwa hesabu ya haraka haraka, baada ya Ticha tumecheza taarab miaka kumi halafu tukala panya saaana. Sasa mdundiko umeongezewa chachandu with the likes of a 14th Century conservative. Kazi kwelikweli.
 
Siasa ni mchezo wa ajabu sana.Unakila aina ya mbwembwe na vituko vya ajabu.Hoja yangu ya msingi nikuwa nimeshangazwa na uamuzi wa Dr Bilal kukubali uteuzi huu...kukubali kuwa rubber stamp.SIkutarajia kama angekubali..


sarcasm aside, tutacheza mdundiko sana kama u-laissez-faire wetu kwenye destiny ya Bongo utaendelea hivi. CCM kama chama siyo sera zake bali ni hegemony ya watu flani na interest zao. Instaed of the forward march, CCM inaturudisha kwenye mdundiko. Kwa hesabu ya haraka haraka, baada ya Ticha tumecheza taarab miaka kumi halafu tukala panya saaana. Sasa mdundiko umeongezewa chachandu with the likes of a 14th Century conservative. Kazi kwelikweli.
 
Sikuamini kama Taifa Maskini kama sisi twaweza poteza muda wooooote huo eti kumtangaza mgombea..
Sidhani wenzetu wanatufikiriaje???
Dr hakutakiwa kukubali "eti" Zenj kwaharibika.. msimamo wake uko wapi..
Kama ameridhia tutegemee mengi tuu yasiyo na mashiko kuridhiwa..
Sasa nyinyi viongozi mtaacha Legacy gani kwa nchi yenu?????
 
Inaonekana kama ni siasa za watoto. Na inaonekana kuwa we do not have any system in place of grooming those who will take higher and important offices. Ni pesa, ujanja, hila and alike ndio vinatoa mwelekeo wa nani atakuwa rais na nani atakuwa VP.

Lakini yote hayo yanaonesha kuwa the biggest loser ni Tanzania.

It makes me laugh kusikia kuwa eti wazee walimwita JK na kumlazimisha amtangaze Bilal kama mgombea mwenza, what the heck! Who are these wazee wa Zanzibar is it those who are patriotic and those who love the island with all their hearts au ni watu wenye uchu wa madaraka wa Zanzibar, wenye lengo la kupata mapesa tu kupitia uongozi?
 
Kwa graph hiyo inamaana Kikwete kafanya vizuri kwenye exchange rate kuliko Mkapa!!!

yeah JK amefanya vizuri kwa kuwa wakati wa Mkapa ilikuwa 1000 Tsh kwa dola moja na kwa JK ni 1500. 1000 seems to be lower than 1500, isn't it?

Ukiangalia takwimu zote za uchumi utaona kuwa Mkapa was far better by any measure kuliko JK. Naona kazi zinazohusu uchumi JK ameziacha kuwa ni kiporo cha serikali inayokuja, yaani baada ya yeye kumaliza muda wake.
 
Jamaa kala matapishi yake,jamani wanasiasa sio wakuwaamini kwani wanachojali ni maslahi na malengo yao binafsi,daktari wa fizikia kajali zaidi maslahi yake kuliko wale"waliomtuma"ambao walitupa kapero na shati za CCM pale kwenye mjengo mweupe na kurudi Zenj wakijiapiza,mwenzao kawakana hadharani na kakubali kuwa "mtu wa kutumwa"badala ya kuwa "mtu wa kutuma".Hawa wanaoitwa wazee wanajalia maslahi yao na si vinginevyo,kwa kumuogopa daktari wa fizikia wanaona wamepata ufumbuzi kwa suala la wa zenj,hakika zenj sio bilali pekee .
 
Kama kitu ambacho rais kikwete atakuwa anajisifia nacho ni kusoma mbele kitakachoendelea baada ya kumnyima urais wa zanzibar bw ,dk bilali
huyu bwana akika alikuwa awafanye kitu mbaya ambacho ccm wasingekkaa waamini maisha yao..kama mlisoma mwanahalisi alimtumia memo kikwete kumwambia chonde ndugu ya dodoma utayamaliza we mwenyewe!!!!akika ninacopy ya lile gazeti na leo hii najisikia kwa furaha kumwita DK BILAL SHUJAA NA MWANAUME WA WANAUME.....

Wapo wengi waliojua kikwete alitaka kujaza marafiki zake kwenye hiki cheo..leo hi namheshmu na ntazidi kumheshimu Makamu wa rais mtarajiwa Mh DK Bilal

Kidumu chama
 
niliwahi kuwaambia hapa kuwa unafiki ni mbaya sana. jana jk alikuwa hana pa kutokea isipokuwa kutaja jina la Bilal

ila kuna watu wameniudh sana hapa jf, huwa wanapinga sana sera za ccm na jk wake hapa janvini lakini juzi na jana walikuwa dom na tena wanariport hapa janvini yanayojiri. Wanafiki wakubwa

heri malaria sugu aliyejiweka wazi

KWELI SHUKRANI YA PUNDA MATEKE....MMM KUA UYAONE


mix with yours
 
Back
Top Bottom