Kwa uchaguzi huu wa Arumeru Mashariki wafuatawo wamevuna walichopanda

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Kwa yule aliyesema wa JF tumeuchapa usingizi siyo kweli laptop zimeheat zinakaribia kucease. mind you cdm imeibuka kidedea hata chaguzi ndogo za madiwani zilizofanyika jana. Ila wafuatao uchaguzi huu umewapandisha chati na kupata hadhi mpya ambazo zitatambuliwa kwa majina. Majina hayo yamepatikana kutokana na msemo wa kiswahili kwamba mtu huvuna alichopanda. Kuanzia sasa majina yao ni kama ifuatavyo.
.1. Nape Nnawiye awali alikuwa anaitwa vuvuzela pamoja na hilo ataitwa DEGE JINGA NAPE MOSES NNAWIYE
2. Livingtone Lusinde Kibajaj, kutokana na uchaguzi huu hadhi yake ya uheshimiwa ifutwe kabisa aitwe MSHENZI L.LUSINDDE
3. Benjamin W.Mkapa badala ya kula pesheni yake pole pole yeye akaja kujitia aibu kwenye majukwaa naye hadhi ya uheshimiwa na urais mstaafu tuifute ataitwa FISADI MKAPA MKOMBA MBOGA.
4. Mzee Mwinyi yeye alibaki na majukumu yake ya kulea wana hadi kule IFAKARA akapolwa wadhifa wake wa mgeni rasmi Joel Bendela akampa Lowassa (wewe bendela njaa zako zitakuuwa ) kuanzia sasa hadhi ya uheshimiwa wa Mkapa atachukua yeye ataitwa MHESHIMIWA SANA RAIS MSTAAFU ALI HASSANI MWINYI.
5. E lowassa sioni jina linalomfaa mtafutieni.
Naomba kuwasilisha.
 
Jina lake aitwe Edward Kawilindo lowasa, Au Edward Kapakali Lowasa, au Edward Dodoloma Lowasa, au sinto, au kitorondo ...
 
mmmhhhh mabwaku yaani lusinde leo hii kawa mshenzi mzee wa kudadadeki..
 
Kwa yule aliyesema wa JF tumeuchapa usingizi siyo kweli laptop zimeheat zinakaribia kucease. mind you cdm imeibuka kidedea hata chaguzi ndogo za madiwani zilizofanyika jana. Ila wafuatao uchaguzi huu umewapandisha chati na kupata hadhi mpya ambazo zitatambuliwa kwa majina. Majina hayo yamepatikana kutokana na msemo wa kiswahili kwamba mtu huvuna alichopanda. Kuanzia sasa majina yao ni kama ifuatavyo.
.1. Nape Nnawiye awali alikuwa anaitwa vuvuzela pamoja na hilo ataitwa DEGE JINGA NAPE MOSES NNAWIYE
2. Livingtone Lusinde Kibajaj, kutokana na uchaguzi huu hadhi yake ya uheshimiwa ifutwe kabisa aitwe MSHENZI L.LUSINDDE
3. Benjamin W.Mkapa badala ya kula pesheni yake pole pole yeye akaja kujitia aibu kwenye majukwaa naye hadhi ya uheshimiwa na urais mstaafu tuifute ataitwa FISADI MKAPA MKOMBA MBOGA.

4. Mzee Mwinyi yeye alibaki na majukumu yake ya kulea wana hadi kule IFAKARA akapolwa wadhifa wake wa mgeni rasmi Joel Bendela akampa Lowassa (wewe bendela njaa zako zitakuuwa ) kuanzia sasa hadhi ya uheshimiwa wa Mkapa atachukua yeye ataitwa MHESHIMIWA SANA RAIS MSTAAFU ALI HASSANI MWINYI.
5. E lowassa sioni jina linalomfaa mtafutieni.
Naomba kuwasilisha.

Huyu alijipaka kinyesi. Watu walishaanza kusahau madudu yake, amewakumbusha na sasa wachambuzi wanazichonga peni zao kummaliza kabisa.
 
Huyu Lusinde aka kudadadeki sio waku vumilia hata kidogo, hapa mimi nashauri sheria mkononi ichukue mkondo wake
 
Wako wapi wale wana-CCM waliotukana na wale waliotumiwa hapa jukwaani kutukana? sijaona hata mmoja, ziko wapi mimba za Chadema alizzisema Lusinde? Wako wapi Mashoga aliowasema Lusinde? Uko wapi uchungu aliousema Lusinde dhidi ya Mbowe? Uko wapi Ubabe wa Lusinde kwa Mzee Slaa kuwa anaweza kumpiga ngumi moja tu? Uko wapi ule ukosefu wa akili ulionyeshwa na viongozi hawa wa CCM??????? Hakika malipo mengine hulipwa hapa hapa
 
Back
Top Bottom