Kwa trend utamjua Rais ajaye 2025 panapo uzima

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,756
Mtiririko tunaoenda nao unaonyesha Rais aliyeko madarakani hamwandai mrithi wake bali yule wa miaka 10 baadae.Nyerere alimuandaa Mkapa,Mzee Mwinyi JK na Mkapa JPM.Ukiwa mtu makini utamjua ni nani anayesubiri kupokea kijiti kwa Mh JPM hapo 2025 ambaye ameandaliwa na JK na ukiwa makini zaidi utagundua hata maandalizi ya 2035,ahsante na Jumapili njema.NB huu ni mtizamo wangu kisiasa
 
Mambo yamebadirika,hata Jpm hakuandaliwa na yyt!
Walioandaliwa wote hawakupenya!
 
Mtiririko tunaoenda nao unaonyesha Rais aliyeko madarakani hamwandai mrithi wake bali yule wa miaka 10 baadae.Nyerere alimuandaa Mkapa,Mzee Mwinyi JK na Mkapa JPM.Ukiwa mtu makini utamjua ni nani anayesubiri kupokea kijiti kwa Mh JPM hapo 2025 ambaye ameandaliwa na JK na ukiwa makini zaidi utagundua hata maandalizi ya 2035,ahsante na Jumapili njema.NB huu ni mtizamo wangu kisiasa

Sawa
 
Back
Top Bottom