Kwa staili hii, CHADEMA itavunja muungano

Hi, Jaribu kufuatilia jambo vizuri kabla hujalianika, vinginevyo utakuwa unawadhihirishia watu juu ya uwezo wako mdoko wa kufikiri.

Chadema imekuwa ugonjwa ambao ni chronic vichwani mwa wanaccm, mpaka imefikia wakati cdm wakisema nyeupe lazima ccm waseme nyeusi, manaccm akilala ndoto ni za cdm,

• Thanks
Reactions: FJM
sidhani kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kumjibu mwenzio namna hii...... na huwa nashindwa kuwaelewa pale mtu anapokuwa anakosoa kitu kinachohusiana na hao jamaa zenu wanasiasa wa chadema mnamshambulia badala ya kumwelewesha tu kwa uzuri. we hao wanasiasa unawaamini sana kwa hayo maneno yao wanayoyaongea kwa kusoma kwenye makaratasi.... wanasiasa wote ni washenzi tu hakuna hata wa maana hapo. ni bora nikae geto na demu wangu tucheze kidari poooo! kuliko kuja kutoleana kauli mbofu mbofu na za kukera kama zako.

washenzi ni Magamba pekee,CDM mbona hata kipofu anaona faida zao?

CDM ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo!

Kila siku huwa nasema na nitaendelea kusema!!

Ni kweli kabisa km wasingekuwa wao tusingejua madudu ya ccm na serikali yake.

• Thanks
Reactions: FJM
CDM ndio chanzo cha matatizo yote tuliyonayo!

Kila siku huwa nasema na nitaendelea kusema!!

Dah! Kweli namashaka na wewe ivi unafikiria au unawaza? Ivi kunauhusiano gani kati ya matatizo ya TZ na CDM? Labda mfano tatizo la mikataba mibovu, mgao wa umeme, ubovu wa shule za kata, na matatizo chungu nzima. Labda umetumia kiungo kipi kufanya uchambuzi? Me nina wasiwasi na wewe nawasikitikia wanao sababu mzazi wao hanauelewa kabisa. Lakini yawezekana ni ULEVI.

Ili waonekane kuwa ni wapinzani lazima waipinge serikali kwa kila kitu. Lakini safari hii wamejikuta wao ndiyo wafukuza mkia kwasababu hoja nyingi zinaibuliwa na wabunge wa CCM wao wanabaki kubwabwaja tu bungeni. Hii ni mbinu inayotumika kuwazima kimyakimya bila wao kujielewa.

Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.
Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka endapo wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.
Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!

Alicho kiongea Tundu Lisu ni kuwa kama wao wazanibar waliamua juu ya marekebisho ya katiba yao bila kutuhusisha sisi tanzania bara basi na sie masuala yasio ya muungano hatuna haja ya kuwashirikisha tutakapokuwa tunajdili katiba yetu. Wazanzibar wamesha fanya bila kutuhusisha sisi muungano upo tu sisi tukifanya ndio tunahatarisha muungano.
kweli wewe ni ground zero!!!!!!!!
tafakari chukua hatua

Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka enda

po wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.

Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!
kwani muungano una faida gani?

Ili waonekane kuwa ni wapinzani lazima waipinge serikali kwa kila kitu. Lakini safari hii wamejikuta wao ndiyo wafukuza mkia kwasababu hoja nyingi zinaibuliwa na wabunge wa CCM wao wanabaki kubwabwaja tu bungeni. Hii ni mbinu inayotumika kuwazima kimyakimya bila wao kujielewa.
we ndo matapishi kabisa nyie ndo masaburi anasema mnafikiria kwa kutumia ******..hoja ipi imeibuliwa na wabunge wa ccm?

Naibu wazir Ndugai ameamua kumnyoshea lisu mikono na kuanza kuwaeleza wabunge sifa za Lisu toka walipokuwa chuo kikuu,hakika lisu amewakilisha vizur tena bila ushabik na jamaa ni hadhina kubwa kwa taifa.

wazanzibar walibadilisha katiba yao bila kutuhusisha sie na muungano haukuvunjika, sie leo tukibadilisha katiba kwenye maswala yasiyo ya muungano bila kuwahusisha wao ndio unaona muungano utavunjika, amakweli unafikiri kwa kutumia ma meya

Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka enda

po wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.

Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!

Ungezijua kero za muungano usingehoji alichosema Lisu. Kwakuwa hujui ulitendalo hujakosea.

mimi sio fan wa chadema at all lakini kwenye hlo suala nampa thumbs up huyo m2 cz sio lazima kila kitu alichoanzisha baba wa taifa kiendelee hata kama hakikubaliki tena.....tuna haki ya kufanya mabadiliki pale inapobidi...kwahyo cha kujiuliza ni je tunautaka huo muungano?....

Ukweli unauma lakini mazingira ya muungano huu ni ya siri sana kuliko tunavyozani na Nyerere alicheza part kubwa sana ya usiri huu chakujiuliza kwann mazingira ya muungano yalikuwa ya siri? Na je hakuna haja ya watanzania kuamua wanataka muungano gani? Na hakuna haja ya kuujadili muungano huu? Kwako mdau mchagua jembe c mkulima.

Ili waonekane kuwa ni wapinzani lazima waipinge serikali kwa kila kitu. Lakini safari hii wamejikuta wao ndiyo wafukuza mkia kwasababu hoja nyingi zinaibuliwa na wabunge wa CCM wao wanabaki kubwabwaja tu bungeni. Hii ni mbinu inayotumika kuwazima kimyakimya bila wao kujielewa.

hoja ipi ambayo wameibua........yaleyale masaburi ndo unatumia kuwaza

Nimemsikiliza kwa makini sana waziri kivuli wa wizara ya katiba na sheria Mh. Tundu Lissu.

Nilisikitishwa sana na kauli ya Lissu kwamba Zanzibar iamue ni aina gani ya muungano wanataka enda

po wataendelea kuwa kwenye muungano. Hii ni kauli hatari kwa maslahi ya taifa letu. Mwalimu alishawahi kusema kwamba viongozi walifilisika hutafuta kujihalalisha kwa makundi.

Chadema inataka kujihalalisha kwa upuuzi wa utanganyika, tuwakatae hao jamani!

Kama jina lako lilivyo basi naona unafikiria Zero na Moja

Lile ni jembe na hapo ndo utajua kwanini Jk alikuwa ati tundu lissu hawe mbunge ni kutokana na kujua kwake sheria hivyo aliona atawanyanyasa magamba wasiopenda kusoma na kila kitu ni ndiyo ilimradi posho imeingia kazi wanayo mwaka huu.

sidhani kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kumjibu mwenzio namna hii...... na huwa nashindwa kuwaelewa pale mtu anapokuwa anakosoa kitu kinachohusiana na hao jamaa zenu wanasiasa wa chadema mnamshambulia badala ya kumwelewesha tu kwa uzuri. we hao wanasiasa unawaamini sana kwa hayo maneno yao wanayoyaongea kwa kusoma kwenye makaratasi.... wanasiasa wote ni washenzi tu hakuna hata wa maana hapo. ni bora nikae geto na demu wangu tucheze kidari poooo! kuliko kuja kutoleana kauli mbofu mbofu na za kukera kama zako.

Mbona unahangaika na mambo ya Kisiasa kama wanasiasa ni washenzi? Au demu wako kakataa kucheza kidari pooooo?

Back
Top Bottom