Kwa spidi hii Rwanda watatuacha

Kwnaza tukubali kuwa kuna hoja yenye mantiki kwenye post ya Game, halafu tujiangalie sisi na CCM yetu je tunasonga mbele au la?

Hizi hoja nyingine zote kama udikteta, ukubwa wa nchi, ukabila na yote hayo yatafuata baadae.

Ka nchi kama belgium kuwa na uchumi mkubwa kuliko nchi zote za kisini mwa jangwa la sahara siyo lelemama, inaanzia kwenye umakini wa kujadili hoja.
 
Tanzania tuna lala tuna fikiri kila nchi iliyopo nyuma yetu itabaki hivyo hivyo? Nchi nyingi tu mbona zinatu washia indiketa na tunaziachia zitupite. During the 1960's the economy of Indonasia and Kenya was more or less the same angalia leo sasa. U.A.E was just a deserve kingdom up to the 1950's look at them now. Hii ya Rwanda is just a wake up call na tusipo angalia mpaka nchi kama Congo, Sudan, Sierra Leon etc. zitakuja kutupita. We lack leaders with vision.
 
Wireless internet can be achieved very easily because you will be using the mobile phones communication masts. (i.e. wherever a mobile phone communication is available you can have internet access as well.

Even in developed countries like UK this technology is widely used to compete with landlines. I am wondering why do they take so many years when the technology is easily available.
Dua,

Pamoja na kuwepo kwa mobile phones masts lakini haitoshi kuleta mabadiliko ya ICT Tanzania. Unahitaji network nyingine zaidi kama unataka kutoa huduma za internet kwa ufanisi zaidi.

Hata hiyo UK uliyoisema makampuni yake yana networks zingine kwa ajili ya data. Nina maana voice na data hutenganisha karibu kabisa na mtumiaji na kwa data hupelekwa kwenye network tofauti ambayo ina uwezo na bandwidth ya kutosha na ndio maana huku sasa unaweza kufanya lolote kwa kutumia mobile networks.

Uzuri tu ni kwamba technology tayari ipo na kinachotakiwa ni serikali kushirikiana na hayo makampuni kutengeneza networks ambazo zitakuwa na uwezo wa kutosha. kwa TZ sasa wanafunga fibre optics za kuunganisha wilaya zote. Hili litakuwa na maana kama watawahusisha mpaka mobile operators ili watumie kwa pamoja resource hiyo kwa ajili ya ku maximize impact.

Rwanda wametuzidi kwasababu wanaelewa nini wanataka, sisi tumebakiwa kuwa na maneno mengi vitendo hakuna. TCRA na hata idara ya ICT na communication pale wizarani zimejaza watu ambao hawana ujuzi wa kutosha kwenye technology na hivyo kushindwa kutengeneza strategies nzuri ambazo zinaweza kutukwamua kwenye ICT.
 
Dua,

TCRA na hata idara ya ICT na communication pale wizarani zimejaza watu ambao hawana ujuzi wa kutosha kwenye technology na hivyo kushindwa kutengeneza strategies nzuri ambazo zinaweza kutukwamua kwenye ICT.
Wewe usisema mambo usiyo na uhakika nayo,nafahamu sasa ICT department inaongozwa na Daktari mwanzilishi wa ICT TZ na amekubuhu katika fani najua pale wapo vipanga kadhaa with first class in their UG na wamepiga PG mtoni .Wana mipango mizuri ikiwamo ya fiber network ambayo itakapokamilika itakuwa fully redundant and resilent (Pesa ipo,contract amepatikana)na TZ iko mbele kimpango ICT in EAC
 
Wewe usisema mambo usiyo na uhakika nayo,nafahamu sasa ICT department inaongozwa na Daktari mwanzilishi wa ICT TZ na amekubuhu katika fani najua pale wapo vipanga kadhaa with first class in their UG na wamepiga PG mtoni .Wana mipango mizuri ikiwamo ya fiber network ambayo itakapokamilika itakuwa fully redundant and resilent (Pesa ipo,contract amepatikana)na TZ iko mbele kimpango ICT in EAC

TanzActive,

We are now tired of sweetie words alone friends!!

We want- Actions!! Now!!!!!
 
Kagame ni mkereketwa wa nchi yake, Rwanda. Naona ujasiri mkubwa na nia ya kutaka kuleta maendeleo kwa nchi nzima bila kujali ukabila na hata utaifa! Ni kweli kuwa kwa speed hii, muda si mrefu Rwanda watatuacha mbali sana!
 
Wewe usisema mambo usiyo na uhakika nayo,nafahamu sasa ICT department inaongozwa na Daktari mwanzilishi wa ICT TZ na amekubuhu katika fani najua pale wapo vipanga kadhaa with first class in their UG na wamepiga PG mtoni .Wana mipango mizuri ikiwamo ya fiber network ambayo itakapokamilika itakuwa fully redundant and resilent (Pesa ipo,contract amepatikana)na TZ iko mbele kimpango ICT in EAC

Ndugu daktari huyu ameingia juzi juzi, before hiyo idara ilikuwa kama hai-exist!
 
jamaa wamezamilia kuiniua uchumi wao.la kwanza wametuma vijana wao kusoma nje ya nchi na ni wazalendo sijapata ona baada ya masomo ni nyumbani.kuna jamaa yao mmoja alikuwa engineer CNN ila amekubali kurudi na kulipwa mshahara pungufu nyumbani.Cha msingi ni uzalendo na bidii ya kazi na wamefanikiwa kuiba ujuzi nje maana wako tayari kujifanya raia ila baadae hao nyumbani.Bongo wako kila sehemu USALAMA WA TAIFA hadi IKULU.wenyewe wanajiita WAISRAELI WA AFRIKA.kazi kwenu Watanzania

wamezamilia = wamedhamiria

kila inapowezekana tuelimishana kuto kupotosha lugha yetu tamu (ikiwa tu tutaiandika na kuitamka ipasavyo)
 
Strongman Paul Kagame vile vile ana ZERO TOLERANCE kwa ufisadi na rushwa.Msimamo wake lazima uwe wa kuigwa na nchi yetu.
Kule Rwanda mtu yeyote mwenye harufu tu ya rushwa anachukuliwa hatua , tena kali sana.Mawaziri na Wakurugenzi wengi tu wameonja joto ya jiwe ya hii zero tolerance.
Kwa mtaji huu kwa nini wasiendelee? maana fedha inayopatikana haiibwi na wajanja serikalini
Kudos Kagame!
 
btw

KENYA jana wamezindua rasmi fibre optic yao

sisi tuko pale pale bado tunabishana na University of Dar
 
Wewe usisema mambo usiyo na uhakika nayo,nafahamu sasa ICT department inaongozwa na Daktari mwanzilishi wa ICT TZ na amekubuhu katika fani najua pale wapo vipanga kadhaa with first class in their UG na wamepiga PG mtoni .Wana mipango mizuri ikiwamo ya fiber network ambayo itakapokamilika itakuwa fully redundant and resilent (Pesa ipo,contract amepatikana)na TZ iko mbele kimpango ICT in EAC
TanzActive,

Najua ICT kwasasa inaongozwa na Dr. Lakini kufaulu mitihani na kujua technology strategies ni vitu viwili tofauti. Wacha tuangalie na yeye atafanya nini ingawaje binafsi sioni mabadiliko.

Kama hao vipanga wa TZ ndio wako pale na hali ya ICT ndio hiyo Tanzania basi tuna hali mbaya sana. Hata TCRA inaongozwa na prof. na idara nyingi zina wasomi wazuri tu lakini ambao hawawezi ku translate theories into deeds.

Narudia tena kwa uzoefu wangu wote, idara ya ICT pale wizarani imelala na hakuna mikakati ya maana ya kuleta maendeleo through ICT kwa Tanzania.

Kama infrastructures mbalimbali kama barabara zilivyo muhimu kwenye uchumi wa nchi, kwenye karne ya 21 ICT ni muhimu mno kwenye maendeleo ya nchi yoyote. Angalia jinsi tunavyoweza kutumia technology kupunguza tatizo la walimu na vitabu kwenye mashule yetu, jinsi tunavyioweza kupunguza gharama mbalimbali kwenye mawizara yetu, hata kupunguza corruption kwa kutumia ICT.
 
3. Rwanda ili kuondokana na ukabila ingependa kutoa uraia kwa watu wa mataifa mengi zaidi hivyo Rais kawaalika wengi wajitokeze hata kuomba uraia, ''watu wanaona hili ni tatizo mimi naona ni faida kwa nchi mradi wanaopewa uraia wanafuata sheria''

Kipengele hiki sidhani kama kina ukweli maana Wanyarwanda wenyewe hawatoshi ndio maana Kagame alianzisha vita DRC ili immegee kipande alichokuwa anamiliki yule gaidi Gen. Laurent Nkunda. Hata kama ingekuwa ni kweli watapata wapi watu kwa mamilioni ili kubadili uwiano wa makabila?
 
TanzActive,

We are now tired of sweetie words alone friends!!

We want- Actions!! Now!!!!!
These are not sweet word ,project kick off is underway.Kitu kizuri ni kwamba President naye ni mkereketwa wa ICT angali Ziara yake majuzi kule google na IBM pamoja na mikati ya kukifanya UDOMO kuwa kitovu cha kuzalisha wataalamu wa ICT.
 
tuache ubishi sisi bado tuko nyuma tujipange tubadilishe nchi yetu tusije tukachekwa!
hali kwa sasa sio mbaya kama mwanzo kwani tunao wataalamu wengi ukilinganisha na wakati uliopita (japo wengine ni wa kuungaunga kwa ajili ya chitting) lakin tunaweza kufanya vizuri kama kila mtu akitimiza wajibu wake.
kitu muhimu cha kufanya kwanza lazima turudi kule tuliko toka tuweze kujua kila mtu anafanya nini? na tuongeze maswali mengine kama je anachofanya anakiweza? anakipenda? je kinalingana na elimu tuliyo mgharamia? kipi angependa kufanya ili tutumie vizuri ujuzi wake
hay pamoja na maswali mengi yangeweza kutusaidia kutafuta data base ya kuanzia ili kila mmoja wetu apewe wajibu wake ashiriki kikamilifu katika taifa letu.
lakin yote yanawezekana kama tutapunguza ubinafsi kwa kiasi kikubwa na tukawasaidia wenzetu kwa mawazo ya jinsi gani umaskini wao unaweza kuondoka.
vinginevyo tutachekwa
 
These are not sweet word ,project kick off is underway.Kitu kizuri ni kwamba President naye ni mkereketwa wa ICT angali Ziara yake majuzi kule google na IBM pamoja na mikati ya kukifanya UDOMO kuwa kitovu cha kuzalisha wataalamu wa ICT.
TanzaActive,

Hizo kweli ni sweet words tu. Labda kama kuna projects ambazo mwenzetu unazijua na wengine hatuzijui. Hiyo fibre optics ya kuunganisha wilaya peke yake haitatosha. Inatakiwa tuwe na a holistic approach kwenye hili suala la ICT na pia kuwashirikisha wadau mbalimbali na kuja na solutions ambazo zitatusaidia.

Mwaka jana hapa tuliambiwa juu ya wireless technology ambayo ingemaliza matatizo ya Tanzania, leo sijui hata hiyo kampuni imepotelea wapi.

Siku hizi technology ipo, hao Huawei wanaofanya kazi nchi nyingi Africa ndio hao hao wanafunga networks hata huku Ulaya. Kinachokosekana ni strategies na will ya viongozi wetu.

Sitashangaa miaka miwili ijayo TZ bado ikiwa nyuma kwenye ICT ukilinganisha na nchi kama Rwanda au Kenya.
 
Tanzania tuna lala tuna fikiri kila nchi iliyopo nyuma yetu itabaki hivyo hivyo? Nchi nyingi tu mbona zinatu washia indiketa na tunaziachia zitupite. During the 1960's the economy of Indonasia and Kenya was more or less the same angalia leo sasa. U.A.E was just a deserve kingdom up to the 1950's look at them now. Hii ya Rwanda is just a wake up call na tusipo angalia mpaka nchi kama Congo, Sudan, Sierra Leon etc. zitakuja kutupita. We lack leaders with vision.[/SIZE]


Kwani issue ni kuwa nyuma ya nchi nyingine au kuboresha maisha yetu? Are you saying kwa hali yetu ilivyo, tungekuwa namba moja duniani then problem solved? What do we want people?
 
Kwani issue ni kuwa nyuma ya nchi nyingine au kuboresha maisha yetu? Are you saying kwa hali yetu ilivyo, tungekuwa namba moja duniani then problem solved? What do we want people?

Mkuu haujaelewa post sijui ni kuto kusoma vizuri au kukimbilia kutaka kusema kitu. Ninacho sema ni kwamba Tanzania isitegemee nchi zote ambazo zipo nyuma yake zitabaki hivyo. Nchi nyingi tu ambazo zilikuwa zikionekana nyuma sana na sisi zina songa mbele that is a fact. Sasa kuboresha maisha yetu si pamoja na nchi kuendelea? Kwani hizo pesa za kuboresha maisha yetu zitatoka wapi? Umeona nchi ambao imeji tosheleza katika kuboresha maisha ambayo ni masikini kupindukia? Nani kasema tungekuwa namba moja mkuu? Again hapo umekimbilia to kujibu. It is a fact kuwa na resources tulizo nazo tulitakiwa kuwa mbele zaidi ya tulipo. Tume kosa uongozi wa ku-utilize all our resources ndiyo maana we are not farther than we are. We want development kwani wewe unataka nini mkuu? It seems you are satisfied with where we are and how we are moving forward. Mimi nakushuku kutokana na post yako cause it seems wewe ni moja ya wale wanao faidika na Tanzania kuwa hapa ilipo ndiyo maana hauoni kuwa hapa tulipo ni tatizo.
 
Kagame has proved to us kwamba sio lazma uwe na resources kama bahari, gold or oil to succeed and develop your country. Inauma sana nchi yetu yenye mali ya ardhi , bahari, gold, rivers, lakes, game parks..the list is endless....lakini tumekwama..
 
Back
Top Bottom