Kwa sasa Hakuna haja ya kuendelea na mchakato wa Vitambulisho vya Taifa

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Nasema hivi kwa haya yanayotokea huko visiwani zanzibar,,,,kwanza serikali imalize suala la muungano,,,,,maana wenzetu wamechachamaa na madai yao,,,endapo tutaendelea na zoez basi kuna uwezekano mkubwa wa kuaharibu pesa za bure,,,endapo muungano ikiamuliwa uvunjwe,hivo vitambulisho havitakuwa na maana,,,,hata mim nataman kitambulisho changu kiwe hivi....
Name:Magomba Kibarabara
Age:65 years
Tribe:Ngunea
Region:Morogoro
Country:Tanganyika
Nationality:Tanganyikan
 
Back
Top Bottom