Kwa rpc arusha tobias andengenye & company

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,360
On Saturday, police joined thousands of protesters on the streets of Tunis demanding the cabinet to resign.
Until a week ago the police were defending the now-ousted government of Mr Ben Ali, but the officers said they too were victims of the former regime, with many chanting: "We are innocent of the blood of the martyrs!"
Tunisia's prime minister has promised to leave politics after elections being planned in the wake of President Zine al-Abedine Ben Ali's fall last week.


source:bbc.co.uk/news/world-africa


vipi wewe, bado hamjasutwa na dhamira zenu? mnangoja nini?
 
anamuiga mahita alivyompiga mabomu Mrema.....akitegemea atapata u-IGP
 
anamuiga mahita alivyompiga mabomu Mrema.....akitegemea atapata u-IGP

Polisi wenzao wanalia na kusaga meno kwa walivyowafanyia wananchi wasio na hatia, polisi hao wenye busara wameona kumbe wananchi hao walikuwa wanawatakia wananchi wote ( ikiwa pamoja na polisi) mema
 
eti wanahitaji polisi jamii wakati wanajitenga na jamii!!:disapointed:
 
Back
Top Bottom