Kwa raha zao!

GIUSEPE

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
207
74
MBWA.jpg

Ungekuwa wewe ungekubali hii lifti?
 
Beggars can't choose, lift uombe hafu uchague sehemu ya kukaa? Watu wana ratiba zao bwana. Huyo mwingine ambae huwasiliana kwa kutumia mkia ana haki zake na kumbuka ni PETTY ANIMAL!!!! Thoug I'm kidding lakini ukweli uko palepale!!!!
 
hata mimi napanda tu, si nina shida bwana, hapo umeshakaa kituoni takribani nusu saa ukiangalia muda unachelewa kazini, so mi ikitokea napanda tu. na mimi kwa raha zangu niko nyuma pekee yangu.
 
inategemea, kama uliomba lift ufike unapokwenda, unapanda tu
lakini kama ulikuwa unataka majungu na kugombana na mmiliki wa gari, mshushe huyo DOG!
 
Back
Top Bottom