View attachment 50479Mambo ya championi ligi ndio hayo mseje mkasema ooo sio kweli mnaongea sana wa Tz ,jioneeni wenyewe kwa raha zao.
Haha, ndo maana wazungu wanatudharau sana.
Tunapenda ulimbukeni kupitiliza....haha
Hivi umeshawahi muona waziri mkuu wa uingereza anatoka uingereza kwenda Japan au china kupiga picha na wasanii, wanamichezo au kujipitisha kwa staili hii..
Haha, nyuma ya pazia wazungu watakuwa wanacheka sana viongozi wetu
Yaani nashindwa kuelewa mantiki ya kuleta mfano wa kombe la UEFA halafu jamaa wanaacha kufanya shughuli za maana na kwenda kupiga picha...!!!!Vipi kuhusu nchi nyingine huwa wanafika kweli au ni hapa hapa shamba la bibi..?????Naomba nifahamishwe kama kuna anayefahamu zaidi wakuu wangu...:thinking: