Elections 2010 Kwa Picha Hii Ahadi za CCM kuwapatia huduma bora watanzania itawezekana?!

Inasikitisha kwa kweli pale unapoona hali kama hii.lakini nani asiyejua kwamba hawa jamaa ni wezi, waongo na wanafiki.Hapo kale kagenge kanascrutinize jinsi ya kumeki si unajua tena wazee wa dili popote! i hate them guys.:whoo:
 
2010. Je kama Sitta akichukua fomu kupitia CCM kugombea urais hatashinda kwa kishindo?. Watz ni wepesi wa kusahau sana, ili kuleta mabadiliko yenye tija lazima hiki chama kiondolewe maana kimeshikiliwa ma mafisadi ambao hawana huruma na raia wake.
 
unashangaa hiyo, huko wilayani dc anapewa land cruiser ya hatari na mganga wa wilaya kupata pikipiki ni ishu. hakuna usawa kabisaaa na utashangaa hao wagonjwa walipiga kura kwa chama twawala. Dont expect big changes at all, b4 jk alikuwa na ziara za kustukiza amefanya nn mpaka sasa?
 
Inauma sana kuona hali kama hii wakati madin na rasilimali zetu zimeuzwa kwa wagen kwa mikataba ya miaka 100 huku mafisadi wakikelea.Tumechoka na ufisadi wa ccm kilichopo tuchukue hatua dhid ya rasilimali zetu na utawala uliopo kwanza kwa kudai katiba mpya ikishindikana tuwaondoe hawa wagen wanaohujumu uchumi wetu kwa nguvu kama Nigeria walivyofanya kumiliki uchimbaji mafuta.
 
Watu wa mijini wameonyesha mwamko kwa kiasi kikubwa. Watu wengi wa hapa Dar wamegubikwa na udini ndio sababu wengi waliipigia kura sisiemu. Na majority ndio hao wanaoonekana wamelala chini. Wamerogwa kweli. Waache walale chini na kupata huduma mbovu mpaka watie akili. Halafu unamsikia JK anasema "tudumishe umoja wetu". Kuna umoja gani hapo? Wakati wao wakiugua watibiwa nje ya nchi na wapiga kura wao hali ndio hiyo. Ama kweli kuna haja ya kupima akili za hawa wana sisiemu. Hakika zitakuwa zimeliwa na mchwa.
 
Sasa nani wa kulaumiwa kama sio serikali? Hizo hospitali nyingine ni nani anatakiwa kuziimarisha kama sio hao wanao kusanya kodi za wananchi na kupokea misaada ya wafadhili?

Wakulaumiwa ni mimi na wewe tunaokwenda mwimbili kutibu mafua wakati kuna hospitali ya Temeke au Mwananyamala.
 
Back
Top Bottom