Kwa NSSF yangu Kukataliwa na Serikali bila Ridhaa yangu SIUNGI MKONO CCM na Serikali YAKE

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,452
3,065
Kwa wale ambao masuala haya yametuathiri kwa kiasi kikubwa, wale wenye mikataba ya ajira kwa vipindi maalum. Je bado kuna haja ya kuunga mkono CCM na Serikali yake?


Mimi siungi mkono hata kidogo. TUMEDHARAULIWA VYA KUTOSHA, TUMEONEWA na KUIBIWA VYA KUTOSHA, SASA TUTAPINGA KWA NGUVU NA AKILI ZETU ZOTE DHURUMA HII NA UONEVU HUU.

Nawasilisha
 
Kama unapinga kweli basi pinga kwa VITENDO. Nenda kwenye BLOGS ya JJ Mnyika utoe mawazo yako.
 
Mkuu, mbona umechelewa sana kufanya maamuzi ya kukichukia hiki chama? ungeg=fanya maamuzi siku nyingi huenda Dr wa ukweli saa hizi angekuwa state house, ona sasa kuchelewa kwako we na wengine tumeyapata haya, anyway, Watanzania wenzangu, hivi magamba watushike sehemu gani ndo tujue hawatupendi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom