Kwa nn Vijana wa cku hizi wanapenda Mteremko. Wanapenda sana kulelewa

pozzyfaza

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,453
265
Mambo wana Jf, Katika pita pita zangu za Humu jf, nimegundua kna vijana wanapenda sana mteremko, wanapenda kulelewa. Unakuta Dogo ana 26yrs anatafuta mtu mwenye 45 or 50 yrs, Pia anatanguliza na kusema awe na Hela zake,
Na mabinti hivyo hivyo. kwanini tucjitume katika kitafuta kwa nguvu zetu. Hawa wanaopenda kulelewa.
Kuna baadhi ya Vijana wanapenda sana mtelemko pasipo kufanya kazi hii inakua hatari sana kwao. tujirekebishe ta tufanye kazi.

  • A%20S-fire1.gif

ukosefu wa ajira na kukata tamaa ya maisha pia kukosa ubunifu na njia ya kipato kwa ufup umasikin ni sababu kubwa sana inayopelekea vijana kulelewa.

vijana tunaona wamama wana ela kutokana na kuwa ameshaanza kufanya kaz kwa miaka zaidi ya 10 hivo amechuma.
maisha yamezid kuwa magumu kila siku vitu vinapanda bei. blame povert.
 
wazazi tunalea watoto vibaya
hii nchi imekosa msingi bora wa kuwafunza watoto kujitegemea
na wazazi pia tumeiachia serikali
kama mzazi unatakiwa kumuandaa mwanao ajitegemee
awe na altenatives katika maisha
asifikie hatua ya kusema kwamba siwezi....
mfano, kama akishindwa kuendelea na shule awe na ujuzi wa kazi za mikono
au na ubunifu wa namna yoyote
ila sasa kwa tz ya leo, ni SUGAR MUMMY SUGAR DADDY.......
 
lkini c kua ni ajjira, anaweza kujiajili mwenyewe, vijijini mashamba kukodi mwisho 50 elfu anashindwa kukodi na kulima akapata kipato ambacho kitamnyanyua kimaisha. me naona wanajiendekeza, kwani wanaweza kuwa hata madarali wa vyumba vya kupanga maisha yakaenda kuliko kutegemea mteremko

  • :help:
 
huo ni ujinga kwani kipindi anaambiwa aende shule alikuwa wapi
 
Mambo wana Jf, Katika pita pita zangu za Humu jf, nimegundua kna vijana wanapenda sana mteremko, wanapenda kulelewa. Unakuta Dogo ana 26yrs anatafuta mtu mwenye 45 or 50 yrs, Pia anatanguliza na kusema awe na Hela zake,
Na mabinti hivyo hivyo. kwanini tucjitume katika kitafuta kwa nguvu zetu. Hawa wanaopenda kulelewa.
Kuna baadhi ya Vijana wanapenda sana mtelemko pasipo kufanya kazi hii inakua hatari sana kwao. tujirekebishe ta tufanye kazi.

  • A%20S-fire1.gif

Hapo nilipobold, ujumbe nimeupenda, tujirekebishe, tufanye kazi na kujipatie utajiri kwa mikono yetu wenyewe.
 
Back
Top Bottom