Kwa nini???

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
VITUO VINGI VYA MAFUTA VINAJENGWA MISIKITI PEMBENI,NIMEFUATILIA KARIBU MWAKA SASA.
MFANO, kITUO CHA MAFUTA CHA UBUNGO MATAA, VITUO VINGI KANDO KANDO YA MOROGORO ROAD HADI MOROGORO, NA VINGINE NJIA YA CHALINZE SEGERA.
KUNA SIRI GANI KATIKA HII BIASHARA YA MAFUTA??
 
mFANO, kITUO CHA MAFUTA CHA UBUNGO MATAA, VITUO VINGI KANDO KANDO YA MOROGORO ROAD HADI MOROGORO, NA VINGINE NJIA YA CHALINZE SEGERA.
KUNA SIRI GANI KATIKA HII BIASHARA YA MAFUTA??
unamaanisha zindiko?
 
Vituo vinamilikiwa na watu binafsi viwanja binafsi siyo serikali (public) wako na uhuru wa kujenga chochote

Besides, unaweza kwenda kituo chenye msikiti ukawauliza watakwambia kwanini?

Nyie iko siku mtauliza kwanini watu wanasali sala tano mlivyokosa aibu na heshima
 
VITUO VINGI VYA MAFUTA VINAJENGWA MISIKITI PEMBENI,NIMEFUATILIA KARIBU MWAKA SASA.
MFANO, kITUO CHA MAFUTA CHA UBUNGO MATAA, VITUO VINGI KANDO KANDO YA MOROGORO ROAD HADI MOROGORO, NA VINGINE NJIA YA CHALINZE SEGERA.
KUNA SIRI GANI KATIKA HII BIASHARA YA MAFUTA??

Sorry napita tu
 
tuliza munkari mkuu, niliuliza tu ili kujua coincidence iliyopo kwa vituo nane kati ya kumi kuwa na misikiti ilhali jirani na vituo hivyo misikiti ipo
 
Ndio tumekujibu kuwa haikuhusu..wewe ukiwa na kistation chako binafsi weka kanisa kubwa hutaulizwa simple as that!
 
tuliza munkari mkuu, niliuliza tu ili kujua coincidence iliyopo kwa vituo nane kati ya kumi kuwa na misikiti ilhali jirani na vituo hivyo misikiti ipo

Hawa watu ni dhalili sana ................. hoja za kitoto toto tuuu! haya hebu tuambie pale Victoria Filling Station, Regent opposite na Restaurant Khana Khazana pana Kanisa (Walokole) la huyo mwenye hiyo Station na Ibada inaendelea kama kawaida. Tofauti ni nini?! Ulitaka kuleta ujumbe gani? hembu kuwa muwazi tu!
 
VITUO VINGI VYA MAFUTA VINAJENGWA MISIKITI PEMBENI,NIMEFUATILIA KARIBU MWAKA SASA.
MFANO, kITUO CHA MAFUTA CHA UBUNGO MATAA, VITUO VINGI KANDO KANDO YA MOROGORO ROAD HADI MOROGORO, NA VINGINE NJIA YA CHALINZE SEGERA.
KUNA SIRI GANI KATIKA HII BIASHARA YA MAFUTA??
Nenda kasali pale Victoria Filling station kuna kanisa la mlokole! mkishalewa mnakuja kutapikia humu!
 
i think wenye asili ya utajiri wa mafuta ni waislam, hivyo basi hakuna ubaya kua na misikiti karibia na petrol steshen zao. Kwanza inawarahishia kutimiza swala zao wawapo kazini na pia wanapata thawabu kwa mtu yoyote yule atakae pita pale na kusali. Kwani kuna tatizo gani?
 
moja kati ya mangapi...???
Hoja ni Idadi au sehemu ya Ibada kujengwa katika Petro Filling Station ? mkiambiwa mnakurupuka mnabisha ! kumbe unajua kuwa Victoria kuna Kanisa limejengwa ndani ya kituo cha Mafuta eeeeehn ! jamani rahaaaaaaaaaaaa!
 
ni wachawi tu hao,:embarrassed:
Hilo haswa ndio lilikua lengo ! huko kwingine mlikua mnazunguka, Kuna Mkurugenzi mmoja wa taasisi ya serikali, Ofisini kwake ametenga Chumba cha kuswalia, kule Baraza la Wawakilishi kuna Msikiti Ndani yake,mbona Ikulu huwa tuna chumba tunaswali na Mheshimiwa,pia Tulipokuwa tunasoma Chuo, Uongozi wa Chuo ulitupa chumba kikubwa tufanyie Ibada zetu sasa tofauti ni ipi?! hivyo kote huko tulikua tunaroga eeeeenh !? Katafute pipi ya kijiti ulambe!:target:
 
Kuna muIslam mmoja tu duniani ambaye anaweza kukutolea siri za imani hii ya hawa jamaa zetu naye ni Salmani Rashidie.
 
Back
Top Bottom