kwa nini????

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
kwa ninihili linatokea sana??? pindi mke anaposafiri mume either atatembea na jirani au kama ndo amepanga atatembea na mpangaji mwenzie naongea kwa experience ,je wanaume hamuwezi kuvumilia tulijadili hili naomba matusi na kejeli tuache pili usichakachue hii thread please!? Karibuni
 
utafanya watu ambao wanatulia tu wake zao wakisafiri
wahisi 'wana matatizo' lol
 
Pole kama yamekukuta! Sio wanaume wote bwana, mme wako kama hajatulia usidhani wote wako hivyo.

Wala hayajanikuta ila nimeona kwa wanawake wengi inatokea na sababu ya kulileta hapa nilimsikia dada fulani akillalamika alivyosafiri majirani zake walikua wanajipendelea@osaka
 
ni huyo mwanaume tu na tamaa zake.....
Na inaelekea hata ukiwepo bado anagonga nje sema hujagundua.......

Tamaa tu, na uroho
 
Tabia ya huyo jamaa mbaya wengine wastarabu mpaka utashanga utadhani mashoga,mkewe akiwa hayupo anachelewa kurejea home,au atashinda kulala mpaka rahaa,lakini kuna mapaka shumee loh hatari...
 
Sina hakika ila inafanana na ukweli, cheki hiyo siredihttps://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/268618-mh-is-this-true.html
 
Tatizo umeshawatolea judgement wanaume! Kua ni ndiyo walafi, ilhali kuna wanawake kibao micharuko waume wao wakisafiri wao ngoma isambe! Hata namie naongea through physical daily activeties.
 
inawezeka mumeo tu ndio mwenye tabia hiyo usitumjulishe wote tena tuomabe msamaha! Na kama kuna wanaume wengine wanatabia kama ya mumeo ushauri kwenu ni kuchunguza akili zao kwa sababu mimi najua kuku, mbuz, mbwa na wanyama ndo hufanya mapenzi na mnyama yoyote na popote wakutanapo lakn si mwanadam mwnye akili timamu! Na yoyote anayeliona hila la kutoka nje ya ndoa ni la kawaida au ndio uanaume hanatofauti na wanyama niliowataja!!
 
Sio wanaume wote..na ukimkuta ana tabia hiyo ujue hata ukiwepo anafanya hivyo! Tamaa ndo source ya hilo tatizo..
 
kwa ninihili linatokea sana??? pindi mke anaposafiri mume either atatembea na jirani au kama ndo amepanga atatembea na mpangaji mwenzie naongea kwa experience ,je wanaume hamuwezi kuvumilia tulijadili hili naomba matusi na kejeli tuache pili usichakachue hii thread please!? Karibuni

Kwanza kwa sababu hapo ndo (mume mkware)yuko huru hamna wa kumuambia nakusubiri tule hny...........dinner, au ukiwa unarudi njoo na coldril baby anapiga sana chafya leo......a.k.a uhuru wa manyani

Secondly.......Prepared mind + Opportunity = Thread theme...........................(i)
Ashki zao + Wife absence = Thread question.............................(ii)


 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom