Kwa nini?

Yuri G

Member
Aug 7, 2011
87
14
Hivi kwanin wanawake wanawapenda wanaume ambao hawaja2lia? Tulio2lia ha2pati kabisa wanawake cjui kwann!? Hate dis thing.
 
Mi mwenyewe nashangaa,mi nadhani tujipasue miyoyo yetu waione!!Mi nshachukua kisu tayari kwa action!!!
 
Hivi kwanin wanawake wanawapenda wanaume ambao hawaja2lia? Tulio2lia ha2pati kabisa wanawake cjui kwann!? Hate dis thing.
Wewe sio kwamba umetulia_ni kwamba unajibalaguza kwamba umetulia,mtu aliye tulia kamwe hawezi kuleta thread kama hiii,....
Nb;Utulivu na ushamba ni vitu viwili tofauti.....you take it
 
sounds childish.
wewe
1. tongoza
2. care
3. hakikisha unapenda unapopendwa
watu wengine huanza hata kuathirika kisaikolojia kifalafala...... wanawake wengi sana na wakati mwingine yaani mimi najiuliza hivi nikioa inamaana niwaache hawa wengine mweeeeeee...... no no no. ngoja nivute muda
 
sasa kama umetulia utawapateje? au unataka waje wenyewe? hata sisi tuliocharuka tusipowafuata hawaji. wake up boy, get what you want. Do not forget to play safe.

BE AWARE OF AIDS
 
sometimz these things are very funny..! nahisi kama kuna ka-ukweli ndani yake! ukizubaa zubaa ni vigumu sana kumpata mwanamke kweli inabidi uchangamke lakini pia vitu kama uongo uongo hiviiii, ujanja ujanja hiviii, ukiwa kama hujatulia hiviii, maneno meeengi basi umsifiee kidogo hata kama amepigwa pasi basi wewe fagilia umbo lake! utawapata kila kukicha....halafu kuna wale wanaopenda titles, ukiwa na akili darasani hapo hukosi, ukiwa msanii unaimba imba hata ukiimba visivyoeleweka hapo hukosi, ukicheza sinema au uigizaji hukosi, ukipiga "pamba" pia hukosi tena hapa ndio balaa maana ukivaa ki-bongo fleva,kikongo kama falii ipupa, ukiwa smart, au ukija na style yako kama ya wacheza soka huwezi kukosa, yani hata ukiwa mchungaji wapo tu utakaowapata! kwa hiyo we changamka...ukizubaa kweli inakula kwako,
 
Wewe sio kwamba umetulia_ni kwamba unajibalaguza kwamba umetulia,mtu aliye tulia kamwe hawezi kuleta thread kama hiii,....
Nb;Utulivu na ushamba ni vitu viwili tofauti.....you take it

ushamba ki2 gani labda ubustani ndo ntakuwanao punk!
 
sounds childish.
wewe
1. tongoza
2. care
3. hakikisha unapenda unapopendwa
watu wengine huanza hata kuathirika kisaikolojia kifalafala...... wanawake wengi sana na wakati mwingine yaani mimi najiuliza hivi nikioa inamaana niwaache hawa wengine mweeeeeee...... no no no. ngoja nivute muda

kupenda unapopendwa sikazi rahisi kumpata m2 wa hvy! As u knw itz only happen on movies and tamthilia.
 
kwasababu waliotulia hawajui mapenzi hata kidogo wala maneno ya kimapenzi hawajui ndio mana
 
Acha uoga tongoza ucfikiri mwanamke atakufwata mwenyewe. afu inaelekea hujitumi kutafuta kwanja kama ungekua unajituma ungekuta umepata hata wale manaofuata mikwanja kwan huwezi kutongozwa kama huna kwanja afu pia sio hb.
 
nafikiri wadada huvutiwa na mwanaume anayeonyesha uchangamfu na kujali. Pia hupenda watu wacheshi, so ukiwa umetulia halafu ndo hivyo huchangamki unakosa mvuto! Samahani sana!
 
Back
Top Bottom