Kwa Nini?

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
9,217
6,348
Ndugu zangu, naandika mada hii kwa huzuni na haibu kibao kutokana na kile nilichokiona Dar Es Salaam mwezi uliopita wakati nikiwa likizo. Huzuni na haibu niliyopata Dar ni juu ya madada zetu na urahisi wao. Dar kwa kweli inabidi mtu uwe mwangalifu sana la sivyo utakufa huku unajiona. Mademu wa Dar ni vicheche haijalishi yuko na mtu ama la...Mwanzoni hii tabia nilifikiri ipo kwa madada zetu walio nje kumbe hii tabia ni ya kurithi? Dar, unaweza kutoka kimahaba na mke wa mtu kwa muhogo tu wa kuchoma ama hata pakti mbili za karanga yaani ili mradi tu mtaani aonekane yuko na buzi. Najiuliza kwa nini mademu wa kibongo wako hivi? Nilikutana na demu fulani (mke wa mtu Dar) pale posta mpya, huyu dada nilimshangaa kweli maana alikuwa kila mara ananipigia simu na kunialika sehemu mpaka akanitongoza (yaliyojiri ni siri yangu). Dada ni mzuri na ana uwezo wake maana ana miliki gari la bei mbaya (bongo style) na nyumba yake ni safi sana, yaani full dozi utafikiri upo majuu humo ndani. Nilipomuuliza kama ana mtu kwanza akasita then akaniambia kuwa anaye lakini si hata yeye (mumewe) anapiga nje kwani shida iko wapi? Kweli nilishangaa. Nilipomwambia ndugu yangu akaniambia ndiyo mademu wa kibongo walivyo. Unaambiwa mademu wa kibongo si rahisi kukuta demu ana mtu mmoja, yaani wenyewe wanazidiana kete kwa kuwa na mabuzi wengi ili waweze kukidhi mahitajia yao na cha kushangaza ni kwamba wanatambiana nani ana vitu vya bei mbaya shinda mwenziwe, na ndiyo maana unakuta umalaya umezidi. Wiki yangu ya mwisho tukaenda Kunduchi Beach na shosti wake (anatarajia kuolewa mwezi wa 12, mwaka huu) kupunga upepo. Jamani yaliyojiri hapa ni balaa. Yule rafiki yangu akawa ameenda haja then nikabaki na yule shosti wake tunapiga stori tu za hapa na pale. Yule shosti akaniuliza kwa nini nilimpenda shosti wake wakati mimi naishi nje ya TZ, kwa kweli ikabidi nimdanganye maana sikumpenda shosti wake ila yeye ndiye aliyejigonga kwangu. Baada ya kuridhika na jibu langu akaniuliza, je akinipa nitakula bila kumuambia rafikiye? Yaliyojiri sisemi, ila najiuliza wanawake wa kibongo wamefikia hatua hii kweli? Kwa Nini?
 
kama na wewe unawagonga kwanini unawalaumu,kitabia hata wewe umefanana nao
 
mie nafurahi sana kama wadada tumepanda chati,maana zamani ilikuwa wanaume tu ndio vicheche...mpaka wakawa wanakuja kubwata humu eti ni nature yao kutokuwa na mmoja.sasa naona nature imeevolve na wadada piia hatuwezi kuwa na mmoja.
 
We umekutana na huyo kahaba bubu then unasema wanawake wote wa bongo ni vicheche????? Shame on you... Umekutana na kahaba mwenye hela then huyo kahaba kakutabulisha kwa shosti wake wanaofanana tabia then unakurupuka na kuconclude kuwa wanawake wote wabongo wako hivyo..lol, kuwa nje hakukuondolei ukilaza. Halafu HAIBU ndio neno gani?
 
pambaaaaaaaafffff sako hebu toa huu UPUPU wako we unasema yaliyojiri siri yako then unawasema vibaya tunda si mmekula wote.
 
Huko nje ya Tanzania unakaa nchi au mji gani ambao hauna makahaba kiasi kwamba hufahamu tabia zao? Una habari kuwa kuna makahaba wenye hela? Na wanatumia hela ili wapate hela, ndio maana ulikutana naye maeneo ya Posta, alikuwa kazini huyo. Baada ya wewe kujieleza kuwa unaishi nje ya nchi akagundua kuwa $ ziko nje nje. Je, mlipoenda Kunduchi nani alilipa hizo gharama? Na ukumbuke kuwa hawa hawana wivu na mtu, anaweza kumwachia mwenzake ili mradi yeye amepata malipo yake. Njoo Manzini, Swaziland ukimpata Mdada wa aina hiyo, siku ambayo hajisikii vizuri au ameenda kumsalimia Ban Ki Moon, anakuletea rafiki yake.
 
Research yako ni 0.00000001% ya wanawake wa Dar, hivyo ushahidi wako hautoshi kuwatia hatiani. Mafanikio uliyoyapata ni kujitangaza ulikuwa au unaishi nje ya nchi na umefanikiwa kuwalamba wanamke wawili hilo ndilo haswa ulilolenga.
 
Ningekuwa naruhusiwa kuandika nilichonacho moyon nina uhakia ungejiflash choon,
Km na ww sio kicheche umewajuaje vicheche?
Huu upuuzi wa kujenerolaiz watu ukome,ungekuwa ww ni mstarabu unayeona usomi ni kuishi majuu mbona umekubali kujiuza kwa huyo mke wa mtu,
Inawewzeka ndicho unachofanya hata huko majuu,coz msomi aliyestarabika na hawezi kufanya au kuandika upuuzi km huu,
Sema ulikuja kuonyesha eksipiriensi ya ukicheche unaofanya huko majuu cjui ya wapi!
Ww ni kijivulana na sio mwanaume,PIRIODI.
 
Kuna siku The Boss alileta apa uzi wa tofauti kati ya mwanaume na mvulana,i hope u know where u belong.
 
HA HA HA HA HA , eti unawashangaa wanawake, wakati sie twakushangaa ww, we kama umechakaza mzigo lala mbele, hiyo ndo style ya kisasa kaka, you do me i do yu, you do her and i do him mwisho wa siku --FAIR PLAY

kumbuka CONDOM TU, alAf HAVE FUN & ENJOYY
 
Back
Top Bottom