Elections 2010 Kwa nini Zitto alijitoa kugombea Uenyekiti Chadema?

Status
Not open for further replies.
Naona unataka kutupotezea malengo ya kukomaa na matokeo.
Nadhani utakuwa kada wa chama fulani
 
Yupo kigoma muulize yeye

Unajiaibisha na hilo jina lako, tena wewe kama ni soda lazima itakuwa pepsi.
kwani nani alikuambia alijitoa kugombea? au wewe ni wale wanaosoma magazeti ya ccm yanayochochea kila kukicha? mwulize yeye atakupa jibu.
 
tulishajadili na tuliufunga huo mjadala.
So kama wewe ni Mgeni ni bora tu ukaendelee na Facebook.
 
hakuna majibu?
Ni ukabila umezidi chadema.
Acha Hoja Nyepesi, Use your time wisely sio kuzua vitu ambavyo havina msingi.Huo ukabila ndo umefanya Chadema washinde Mbeya,Kigoma,Shinyanga,Dar, kilimanjaro,Arusha,Mwanza,Mara,Iringa,Singida!!Mikoa yote hiyo ina kabila la chadema??Acha ubaguzi usio kuwa na msingi. Nahisi huna elimu ya kutosha kuweza kupambanua mambo,unaamini chochote kinachoandikwa na kusemwa katika vyombo vya habari vya ccm!!Kwa taarifa yako humu sio facebook,mijadala ya kitoto yote kaongee na kina Kibonnde labda watakusaidia.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom