kwa nini watu wengi wanapenda sana ku du jumapili.

Canta,
akikujibu swali hili, leo hii nahama Manchester kwenda Arsenal !

Hahahaha!huu mpango naona ni kwa u-20,maana kuna wengine co wanandoa ila wanado kila cku zaidi hata ya wanandoa!kumbe tuko chama moja,hata akijibu usihamie huko utakufa mapema swaiba lol!
 
watoto ndo wanapata muda siku hyo ila kwa sie tuliooa tukitoka church tukirud home kupata menu jion tunaenda kwnye vikao vya harusi tumewaachia watoto wetu mwanya.
 
vipi jamani hamna mwenye ratiba ya ku du leo manake wengi wetu ndio siku yetu maalum
 
Back
Top Bottom