kwa nini watanzania wengi hukunya sura na kukaza misuli wanapoongea kiingereza?

Kwani hukuona wakati wa kuomba ubunge wa EALA hata Mheshimiwa Spika mama yetu Makinda aliomba maji kwa kumsikiliza tu yule "My dail Bread" bana.
 
Ukitaka uone ugumu wa lugha ya Sir Cameroon, ngoja dereva mzungu afanye kosa halafu uone jinsi vijana wa Mwema wanavyombwelambwela.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom