Uswahilini kwetu polisi hawatii mguu, wakija lazima tuwabviuhgumishe kwa mawe. Maana wakikuipeleka umwelani una kesi ya kupigana wanakutwisha na nyingine ya kumchoma kisu mwenzao, dawa yake undava undava
Jamani leo nimejionea mwenyewe kwa macho yangu polisi kapigwa na tofali, akadondoka chini, raia wakawa wanashabikia na wala wahakumsaidia polisi kuinuka wala kumkamata aliye mpiga. Nimeshangaa sana
we unawaonaje hao manjagu?
niliwahi kusema shule wanayopata ndogo...hebu soma hapa https://www.jamiiforums.com/habari-...afunzo-ccp-mhhh.html?highlight=kozi+ya+polisi1. Wanamfumo uliopitwa na wakati wa utendaji kazi
2. Rushwa wameweka mbele kiasi wanashindwa kusimamia haki na kutenda kazi zao
3. Waoga, hawana ujasili
4. Si msaada sana kwa raia ukiwapigia simu kama kunatukio la kutisha hawaji katika muda muafaka wanasubiri tukio liishe ndio waje
5.Wanapenda kufuatilia kesi zenye mazingira ya rushwa .
6.
7.
uwaaheshimu hata kama wao hawajiheshimu? kama ni vibaka na mateja walishawashinda na hilo wananchi wanaweza kuwashikisha adabu,je mengineyo pia tuwasaidie?Polisi ni walinda usalama na amani lazima tuwaheshimu lasivyo inchi yetu itakuwa fujo fujo tu.