Kwa nini watanzani tunaongopewa?

REMSA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,579
947
Kwa kumbukumbu zangu ni mara kadhaa waziri mkuu ametuahidi vitu na anakuja kufanya
tofauti na ahadi yake,kama alivyofanya wakati wa mgomo wa madaktari ndivyo ametufanyia
hata sasa,bila shaka watanzania wengi jana jioni walikaa kwenye radio na televisheni,kutaka
kusikia waziri mkuu atasema nini kuhusu mawaziri mafisadi kama walivyokuwa wametuahidi,
lakini kinyume na matarajio ya watanzania wengi,hakutaka kuongelea juu ya hilo.

Je Watanzania ni kweli tuendelee kukaa kimya na kuongopewa?
 
Back
Top Bottom