Kwa nini wastaafu wakistaafu/kufukuzwa wanazeeka mapema!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Vijana hii n changamoto kwenu
umefika wakati ukiajiriwa ujue kuna kuacha kustaafu ama kuachishwa..nimeangaliwa vijana wazee wengi wanapoacha ama kuachishwa kazi kwa kweli ndan ya miezi sita wanakuwa wamebadilika kama wanaikaribia kaburi..ndugu mpendwa ukiwa kama kijana n wakati wako sasa wa kujipanga na kujua jinsi gan ya kuishi baada ya kustaafu..ama ukiachishwa...usisubiri upewe ppf/nssf ndio ujenge tafuta sehemu kwa ujenge kwa nguvu zako zote ukiwa kazini..msikimbilie kuendesha maagari ya mkopo ambayo wakikuakimbiza leo wanaita majembe na kuishia kwenye mabasi...funguen macho jaman na nyie wazee msisubiri mzeeke mstaafu ndio mnakimbizana kujenga utakufa na magonjwa yasiyo yako
kila la kheri jitahdini kujipanga mkiwa kazini jamani muda mzuri ukiwa na nguvu zako mtaan utachekwa...

Wasalaam
mstaafu mwenzenu
 
Nakubaliana nawe Pdidi, tatizo unakuta ndio hivo mishahara yenyewe midogo ukisema ukope ndio unaweza jikuta mwisho wa mwezi unatoka na NIL ni hatari. Nakubaliana nawe kabisa sie kwetu wote waliostaafu wote wamekufa au wengine unakuta wamefanya kazi muda mrefu lakini wanastaafu na mafao kidogo sana. kweli kuna haja ya kujipanga mapema kabisa.
 
It is because they are too busy thinking of the lost past.

Vijana hii n changamoto kwenu
umefika wakati ukiajiriwa ujue kuna kuacha kustaafu ama kuachishwa..nimeangaliwa vijana wazee wengi wanapoacha ama kuachishwa kazi kwa kweli ndan ya miezi sita wanakuwa wamebadilika kama wanaikaribia kaburi..ndugu mpendwa ukiwa kama kijana n wakati wako sasa wa kujipanga na kujua jinsi gan ya kuishi baada ya kustaafu..ama ukiachishwa...usisubiri upewe ppf/nssf ndio ujenge tafuta sehemu kwa ujenge kwa nguvu zako zote ukiwa kazini..msikimbilie kuendesha maagari ya mkopo ambayo wakikuakimbiza leo wanaita majembe na kuishia kwenye mabasi...funguen macho jaman na nyie wazee msisubiri mzeeke mstaafu ndio mnakimbizana kujenga utakufa na magonjwa yasiyo yako
kila la kheri jitahdini kujipanga mkiwa kazini jamani muda mzuri ukiwa na nguvu zako mtaan utachekwa...

Wasalaam
mstaafu mwenzenu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom