Kwa nini wasichana wa siku hizi hupenda zaidi wanaume walio oa

Nakubaliana na wewe. Mimi niliwahi kuwa na uhusiano wa namna hii, Binti kila wakati akipiga simu ni shida tu, mara gari inahitaji service na sina hela, ukiwa safari utamsikia "nna shida ya 50,000/= naomba unitumie kwa M-PESA", ukikutana naye yaani analia shida weeee, mpaka hamu ya kujifunika naye kwenye Shuka inapotea, inabidi uzushe dharura ili uachane naye kwa kuchoshwa na maelezo ya Shida. Ukiset naye appoitment atakutajia kiwanja cha bei ghali na atatumia vitu vya bei ghali kweli, halafu baadaye anakwambia nna shida ya 100,000/= naomba unisaidie, Akikaa siku mbili, naomba unitumie vocha, mama kanipigia ameniambia anaumwa na hatukumaliza mazungumzo. Duuhhh,
taratibu mtoto wa watu nikasepa.

Poleni sana mn aopenda mabinti wa nje kumbe ndo matatizo mnayokumbana nayo, hapo bado watoto wanahitaji ada sasa hizo pesa ungetulia na wife wako si mngefanya mambo mya maana, hapo hapo bado unajichumia dhambi tu!
 
Mazoea hujenga tabia,hujawai ona mdada mzuri na ndoa juu lakini bado kuchuna wanaume haachi including na mume aliyemuoa anampiga mizinga.

Sijui wanapata wapi guts za kuwa ombaomba hivyo ingawa wengine wana kazi nzuri tu na mshahara mzuri!
 
Wale wenzangu na mimi tunaopenda kufanya tafiti nyepesi nyepesi za maisha mtaani utajagundua wasichana wa siku hizi wanapenda zaidi kuwa na wanaume za watu kuliko vijana wenzao ambao ni single. Hii pia nimedhibitishiwa na akina dada kibao ambao kila mmoja alikuwa na sababu zake lakini nyingi ya sababu hizo zilikuwa
  • Kwanza Mume wa mtu si msumbufu kama vijana "shalobaro" wengi walioko mtaani ambao hupenda kukuganda sana hata kama huna future naye
  • Ni wepesi kuelewa hata kama utamwambia kuwa mimi ninamtu wangu waume hao hawana shida yeyote.
  • Pili hawadanganyi. Hii ina maana kuwa anachotaka ni penzi na wewe unachotaka kwake atakupa bila maneno mengi ya uongo
  • Wana uzoefu wa kujali (care) hivyo unajisikia huru zaidi. Pia si wapenda malumbano kwani wanajua fika kuwa wana wake zao hivyo wasingependa kujitafutia matatizo.
Kwa kifupi wadau huu ni mtazamo wa tafiti yangu ya mtaani. Mpoooooooooo

Tungekuwa tunafuata maadili ya Mungu kuhusu ndoa kiukweli wangempata nani? Sisi wanaume hasa wale mliooa ndio wa kulaumiwa
 
Kuna mtu mmoja alitoa ushauri ufuatao!
If u r financially stable, n u don't want karaha za marriage n u r only interested in being loved then a married man is a best lover; alitoa sababu zifuatazo:-

1: atakuja kwako kutafuta statehe tu, while maugomvi yatakuwa kwa my wife wake!
2: issue ya kufua Nguo, kunyoosha, kumpikia u will be free kwani Housegirl ni my wife wake!
3: utaendelea na ndoto zako (carrier development) while my wife wake ataandelea kuwa piece of furniture!
4: kama hutaki kuzaa hatakushurutisha kwani anayo team ya mpira kwa my wife wake, pia atafurahi usipoharibu shape!
5: single men watataka at the end of the day wakufanye my wife wao (remember hutaki kuolewa)

My take!
Kwa wale tunaotaka kuolewa l think married men r not the right choice unless unafanya biashara na umewageuza ATM kama big house alivyosema hapo juu!
Hivi we' Kaunga ..................................!!!!!!!!!!????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom