Kwa nini wasichana wa siku hizi hupenda zaidi wanaume walio oa

Sababu zote ni za ziada. Main one ni ATM
Nakubaliana na wewe. Mimi niliwahi kuwa na uhusiano wa namna hii, Binti kila wakati akipiga simu ni shida tu, mara gari inahitaji service na sina hela, ukiwa safari utamsikia "nna shida ya 50,000/= naomba unitumie kwa M-PESA", ukikutana naye yaani analia shida weeee, mpaka hamu ya kujifunika naye kwenye Shuka inapotea, inabidi uzushe dharura ili uachane naye kwa kuchoshwa na maelezo ya Shida. Ukiset naye appoitment atakutajia kiwanja cha bei ghali na atatumia vitu vya bei ghali kweli, halafu baadaye anakwambia nna shida ya 100,000/= naomba unisaidie, Akikaa siku mbili, naomba unitumie vocha, mama kanipigia ameniambia anaumwa na hatukumaliza mazungumzo. Duuhhh, taratibu mtoto wa watu nikasepa.
 
Tamaaaa ya hela ndo kikubwa zaidi

More than true, though I am ver against dating mume wa mtu ukiwa na mkaka wa single, mauongo mengi sana, unampa mapenzi na kumjali free of charge lakini bado anakutesa roho, cheating, dharau, mapoozi, mume mtu heshima inakuwepo coz hataki kuharibu home, pia unajua ww mwizi so roho haiumi, kitu chako mwenyewe ukumkuta na mwingine roho inataka kutoka. Mara nyingi ni mtindo wa nipe nikupe period!
 
Nakubaliana na wewe. Mimi niliwahi kuwa na uhusiano wa namna hii, Binti kila wakati akipiga simu ni shida tu, mara gari inahitaji service na sina hela, ukiwa safari utamsikia "nna shida ya 50,000/= naomba unitumie kwa M-PESA", ukikutana naye yaani analia shida weeee, mpaka hamu ya kujifunika naye kwenye Shuka inapotea, inabidi uzushe dharura ili uachane naye kwa kuchoshwa na maelezo ya Shida. Ukiset naye appoitment atakutajia kiwanja cha bei ghali na atatumia vitu vya bei ghali kweli, halafu baadaye anakwambia nna shida ya 100,000/= naomba unisaidie, Akikaa siku mbili, naomba unitumie vocha, mama kanipigia ameniambia anaumwa na hatukumaliza mazungumzo. Duuhhh,
taratibu mtoto wa watu nikasepa.

Sijui wanapata wapi guts za kuwa ombaomba hivyo ingawa wengine wana kazi nzuri tu na mshahara mzuri!
 
More than true, though I am ver against dating mume wa mtu ukiwa na mkaka wa single, mauongo mengi sana, unampa mapenzi na kumjali free of charge lakini bado anakutesa roho, cheating, dharau, mapoozi, mume mtu heshima inakuwepo coz hataki kuharibu home, pia unajua ww mwizi so roho haiumi, kitu chako mwenyewe ukumkuta na mwingine roho inataka kutoka. Mara nyingi ni mtindo wa nipe nikupe period!
mimi nimeoa lakini nalizika na girlfriend wangu ambae nae ameolewa. Tunapeana tunacho miss ktk ndoa zetu. Na cha kuiba ni kizuri sikuambie mtu....
 
Sijui wanapata wapi guts za kuwa ombaomba hivyo ingawa wengine wana kazi nzuri tu na mshahara mzuri!
Mie mbona nilichoka kuwa na hao, yaani wanakufanya wewe kama baba mzazi, lakini sasa wee
 
Sijui kama kuna ukweli wowote, lakini kuna mfano mmoja umemtokea mshkaji wangu hapa unaweza ku support hili.

Jamaa alikuwa anaenda duka fulani la furniture na mkewe mara kwa mara, siku moja akaenda kununua kitu kidogo tu akaona amwache mamaa kwenye gari maana ni kitu cha chapchap. Kufika akachangamkiwa na dada salesperson kuliko kawaida, swali la kwanza aliloulizwa ni "leo mkeo yuko wapi?" Jamaa akajibu nimemuacha kwenye gari. Basi mdada akamvaa na kumwambia "umenunua vitu vingi sana vizuri, ningependa kuja kuona nyumbani kwako". Jamaa akaona this is so unprofessional, lakini hakumind, akafikiri mdada anatania. Baada ya kulipia kila kitu si yule dada salesperson akamuomba namba. Jamaa mtu wa kutoa benefit of doubt lakini akawa anaona hapa kuna jambo.

Just an anecdote. Inawezekana kuna type ya wasichana wanaoona mwanamme aliyeoa anafaa zaidi, kwamba yupo proven tayari.
 
Yote ni kutomjua Mungu tu ndo maana mnashabikia kuchuma dhambi. Binti kama hajaolewa inabidi atulie mpaka siku atakapopata wa kwake. Vilevile na walioko kwenye ndoa inabidi tuheshimu ndoa zetu. Kama kuna mtu amewahi kujiingiza kwenye uchafu huo - atumie muda huu kutubu na kumrudia Muumba wake - Nami kwa sasa nitaongoza sala ya toba kwa ajili ya wana JF.
 
mimi nimeoa lakini nalizika na girlfriend wangu ambae nae ameolewa. Tunapeana tunacho miss ktk ndoa zetu. Na cha kuiba ni kizuri sikuambie mtu....
vibaya hvyo. Hebu malizeni mambo yenu ndio muingie kwenye ndoa.
 
More than true, though I am ver against dating mume wa mtu ukiwa na mkaka wa single, mauongo mengi sana, unampa mapenzi na kumjali free of charge lakini bado anakutesa roho, cheating, dharau, mapoozi, mume mtu heshima inakuwepo coz hataki kuharibu home, pia unajua ww mwizi so roho haiumi, kitu chako mwenyewe ukumkuta na mwingine roho inataka kutoka. Mara nyingi ni mtindo wa nipe nikupe period!

Mh kazi kwelikweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom