Kwa nini wasichana hubabaikia wenye magari na fedha?

bht,Carmel.Vipi wapendwa!
I miss you.
Heri ya mwaka mpya 2010.
Mungu awabariki na muwe wadada wa kuigwa kwa mwaka huu 2010.
 
Mzee wa marungu aka hii hapa au
imebidi nikugongea big senkisi...kwa kweli! I like this.......! mi nilimchungulia bibie kiongea pale kamchunia tu lkn nikuwa nakumbuka ile mambo ya DSTV.....daah mzee kaamua kumchapa nayo ......I like JF!
jamaa amemgonga ngumi ya kushtukiza DADA AKE!...........dah!AMEPOTEZA MBAYA
 
Hahahaha nakumbuka siku ya uzinduzi DO LE MI FA SA LA TI DO
neksti levo ndiye aliyepiga ule wimbo wa USIFIIIWEEE UUUTATU MTAKATIIIIFUUUUUUUUUUUU/......na umojaaaaaaaaaa USIOGAWANYIIIIIIIIKAAAAAAA

unakumbuka mwaka 1997 tumeenda kusali mafinga seminary?..........sikukuu ya utatu mtakatifu?...
 
mmh mkono uleao mwana...!
Mamushka kwa viblurei vya methali ckuwezi.Nimekusalimia kule hujanigongea senks.
Nataka kuja kula viepe,siku yoyote ntatinga hapo citisenta.
Mie ngoja nisepe naona mwaka huu 2010 umekuja vibaya.Mada zote kwenye jukwaa la MMU ni za kuhusu wadada,mara wanapenda tigo,mara magari mara lile.
Naomba tuwakilishe vema kutetea ukweli.
 
........:D:D:D
halafu na wewe mwaka huu lazima tule pilau...!
mchango wa harusi vipi?mboni kimya/??
 
Mamushka kwa viblurei vya methali ckuwezi.Nimekusalimia kule hujanigongea senks.
Nataka kuja kula viepe,siku yoyote ntatinga hapo citisenta.
Mie ngoja nisepe naona mwaka huu 2010 umekuja vibaya.Mada zote kwenye jukwaa la MMU ni za kuhusu wadada,mara wanapenda tigo,mara magari mara lile.
Naomba tuwakilishe vema kutetea ukweli.

wapi Pretta sijaona hun!!! uje jana umenichunia weeee haya tu!!!

mwenzangu mi wanaishangaza hawa mamen humu......wanatupiga vijembe huku usiku hawalali wakifikiri kesho watatudanganyaje!!!

nimekumis we binti sayuni jamani loh!!! mbona hivo??
 
Mzee wa marungu aka hii hapa au
imebidi nikugongea big senkisi...kwa kweli! I like this.......! mi nilimchungulia bibie kiongea pale kamchunia tu lkn nikuwa nakumbuka ile mambo ya DSTV.....daah mzee kaamua kumchapa nayo ......I like JF!

yaani huyu Kaizer bana!! si tuliliona hilo tukachuna yeye ndo kumuumbua sisteri wake laivu hivi....
 
bht,Carmel.Vipi wapendwa!
I miss you.
Heri ya mwaka mpya 2010.
Mungu awabariki na muwe wadada wa kuigwa kwa mwaka huu 2010.

isingewezekana eti nisiione hii, no way!!!

binafsi sijambo na we pia heri ya 2010!!!

thanks for the wish na iwe hivyo kwako pia mpendwa!!
 
Back
Top Bottom