Kwa nini warembo wanapenda kuweka simu kunako?

Mkuu EL Toro nakuaminia kwa picha native za humu humu bongo, achana na wale wanapakua mtandaoni za wazungu ndo wanaweka humu. Big up sana man. Keep it up. Kuhusu uwekaji wa simu maeneo tajwa nadhani ni kwa usalama zaidi ukizingatia hawanaga nguo zenye mifuko mifuko kama men!
 
Hivi hizi picha ni za wabongo? Nakumbuka kukutana nazo pahala!
 
Wote mmefulia mliowaleta warembo wenu mbele ya mada! Kwani hawastahili kuitwa warembo.
 
Black.jpg
El Toro hawa 'wajasiriamali' uliwapiga picha kiwanja gani au tafsiri yako ya warembo ni tofauti hivyo ?
 
Huwa sielewi mbona tukivaa tukasitiri maungo yetu tunapendeza,ndo uvaaji gani huo sana sana mtavigawa na kuachwa hakuna mwanaume na heshima yake atakubali mpenzi wake avae hivo.
 
nimegunduaaa pichaaa nyingi...ni zinaonyeshaa adi kichujio,siku hizi hii ndo style sio
 
Back
Top Bottom