Kwa nini wanawake wazuri sana kwa umbo wengi wao hawaolewi??

Mungu aniepushie mbali na wengi wao ni magogo!hawajui mambo hata tone!ndo maana wanaachwa.mtu anajikoki akijua uzuri wake upo na ndani kumbe hawana kitu aidha kimaumbile au kiubunifu na kujituma mchezoni
 
Jamani hako ni kautafiti kadogo tu nilikofanya. Naomba msinishambulie sana wazee wa research. Katika tembea tembea yangu, nimekutana na wanawake wa kila aina. Lakini mara nyingi kila ninayemwona mzuri tena mzuri haswa, nashangaa hajaolewa. Hii imenitokea mara nyingi sana. Siku moja tulikuwa tunaongea na rafiki yangu mmoja kuhusu suala hili, ajabu nae aliniunga mkono kwamba wanawake wazuri sana kwa maumbo wengi wao huishia kuzalishwa na kuishi single.

Haya wanaJF mnakubaliana na conclusion hiyo, na kama ndivyo, sababu yake ni nini?

Sababu yake nyingine ni kwamba hakuna mwanaume anayependa kuikaribisha pressure akiona. Wanawake wa namna hii ni for public consumption sasa wewe unapotaka kuwa tame for household use unajitakia matatizo bure ndugu yangu. Kila kitu kimetengenezwa kwa sababu maalum vivyo hivyo kuna wanawake wanaofaa kuwa mama watoto na hawa huweza kutulia nyumbani , kuheshimu ndoa , kutunza watoto na mume, then kuna kundi lingine la wanawake "public figure" ambao kamwe usiku hauishi akiwa ndani kwani huyu disco ni lake, mashindano ya urembo lazima aende, mwanamziki mashuhuri akija lazima aende, kila kukicha yuko mjini kwa ma shosti huku kazi zoote akimwaachia msichana wa kazi. Huwa pia fashion mbalimbali hazimpiti na gauni kwake kuvaa ni dhambi kwani lazima avae suruali aina ya soksi ili makalio yajichore vema na akipita barbarani kila mtu amwone.
 
Sure mtu wangu.usumbufufu usio na mpango badala ya kuwaza future unawaza mama sio issue:a s 13:
 
hao ni wale wanakuwa na boy friend watatu na baba friend 4 total of 8 people.Then wanaita men ATM stupied wao
 
Jamani hako ni kautafiti kadogo tu nilikofanya. Naomba msinishambulie sana wazee wa research. Katika tembea tembea yangu, nimekutana na wanawake wa kila aina. Lakini mara nyingi kila ninayemwona mzuri tena mzuri haswa, nashangaa hajaolewa. Hii imenitokea mara nyingi sana. Siku moja tulikuwa tunaongea na rafiki yangu mmoja kuhusu suala hili, ajabu nae aliniunga mkono kwamba wanawake wazuri sana kwa maumbo wengi wao huishia kuzalishwa na kuishi single.

Haya wanaJF mnakubaliana na conclusion hiyo, na kama ndivyo, sababu yake ni nini?

Mbona mimi ni mzuri na nimeolewa.........:) :) !!!

Na kwa taarifa yako hakuna mwanamke mbaya, wote wazuri. Ila kuna wapo ambao hawajaolewa, lakini sio kwasababu ni wazuri sana..:A S 13::A S 13::A S 13:
 
amesema mara nyingi. So wewe unaangukia kundi la mara chache
 
Sababu yake nyingine ni kwamba hakuna mwanaume anayependa kuikaribisha pressure akiona. Wanawake wa namna hii ni for public consumption sasa wewe unapotaka kuwa tame for household use unajitakia matatizo bure ndugu yangu. Kila kitu kimetengenezwa kwa sababu maalum vivyo hivyo kuna wanawake wanaofaa kuwa mama watoto na hawa huweza kutulia nyumbani , kuheshimu ndoa , kutunza watoto na mume, then kuna kundi lingine la wanawake "public figure" ambao kamwe usiku hauishi akiwa ndani kwani huyu disco ni lake, mashindano ya urembo lazima aende, mwanamziki mashuhuri akija lazima aende, kila kukicha yuko mjini kwa ma shosti huku kazi zoote akimwaachia msichana wa kazi. Huwa pia fashion mbalimbali hazimpiti na gauni kwake kuvaa ni dhambi kwani lazima avae suruali aina ya soksi ili makalio yajichore vema na akipita barbarani kila mtu amwone.

Hakika umenena!
 
Ni kweli hao unaosema ni wazuri kwa umbo wengi hawafai kuwa wife material.

Niseme mke ni combination ya mambo mengi sana ikiwa pamoja na hayo waliobserve wana JF hapo juu. Uzuri wa nje una asilimia ndogo sana.

Look around utaona kuwa vijana wengi watanashati sana wameoa wanawake wa kawaida (ukiacha kupuliza) kwa sababu ya kumeet vigezo vingi na si muonekano wa nje tu.
 
nishawahi kuwa na mmoja nikawa nakaribia kuzirai kwa presha nikamwacha nimeoa wa kawaida shenzi kabisa

Utakuwa ulikuwa 'sensitive' sana..mambo aliyokuwa anakupa ukawa unahisi anagawa!..lol, nimecheka sana comment yako!..kwahiyo sasahivi no kuzirai:) ha ha
 
Wengi wao walianza kuonjwa darasa la nne ndiyo maana hawkupenda kusoma, warembo wengi wameishia darasa la saba, weliopiga hatua mabarmaid, hairdresser,mahotelia waliofanikiwa kidogo masecretary wanaopewa kazi kwa kuonjwa kwanza، wenye sura na maumbo mabaya wengi waliamua kuhangaika na kitabu maana hakuna mwanaume aliyekuwa anawataka kimapenzi! Ukimwona mrembo msomi unawezakuja kukuta hatazaa tena maana mimba ameshatoa kama kumi kidogo! Japo siwakatishi tamaa unaweza kubahatika ktk 100,000 ukapata mmoja
 
Swala sio kujiamini, wanawake wazuri wako affected kisikolojia, kila saa wanatongozwa,,, na wao pia bado wanatafuta mzuri na aliyewazidi wote, mwisho wake.. Christmas inafika na hajapata lolote
 
Jamani hako ni kautafiti kadogo tu nilikofanya. Naomba msinishambulie sana wazee wa research. Katika tembea tembea yangu, nimekutana na wanawake wa kila aina. Lakini mara nyingi kila ninayemwona mzuri tena mzuri haswa, nashangaa hajaolewa. Hii imenitokea mara nyingi sana. Siku moja tulikuwa tunaongea na rafiki yangu mmoja kuhusu suala hili, ajabu nae aliniunga mkono kwamba wanawake wazuri sana kwa maumbo wengi wao huishia kuzalishwa na kuishi single.

Haya wanaJF mnakubaliana na conclusion hiyo, na kama ndivyo, sababu yake ni nini?
wengi wao wakisha jiona ni wazuri wanaringa sana na wegi wao wapenda money na hawana pendo la kweli na at kama akiolewa lazima ndoa yake iwe na matatizo chungu nzima na jaribu kuchunguza wanawake wengi wanau uza miili yao wengi wao ni wazuri na hawana kasolo yoyote lakini hawaolewi
 
SIRI YA MTUNGI..............., mbali na hiyo sifa waliyojijengea akilini kama alivyosema dena amsi, hujikuta wametumika na wengi, na mktk huko mwanaume anagundua mapungufu mengi juu ya huyo ni huenda ikawa ni sababu, tahamaki JUA LIMEKUCHWA
 
Back
Top Bottom