Ndo ikoje?wanaume tunataka WIFEY MATERIAL na wengi wao hawana hizo sifa.
wengi wa hao wanawake wanapopevuka hufwatwa saaana na wanaume wenye pesa na asilimia kubwa ya wanaume wenye pesa ni waume za watu na ili kumnasa kirahisi pesa zitamwagwa hapo ahadi kemkem so utakuta mwanamke kamaliza tu form four tayari ananunuliwa gari na mme wa mtu kapangishiwa nyumba nzima kafunguliwa biashara so kwa dizaini hiyo wewe bachelor uliyemaliza chuo ndo kwanza unaanza kazi na kimshahara cha mwazo ukimpata mwanamke wa hivyo utaishia kuchanganyikiwa tu. waume za watu wengi ndiyo wanaowaharibu hawa wasichana. nna mifano minne ambayo ina support mawazo yangu. sasa hivi kuna dada yupo ofisini nnapo fanya kazi ana t.a.k.o la kufa mtu na ni mzuri kweli hapo alipo salary ni kwa commision lkn anatembelea VEROSA wapo weeengi tu ma meneja directors MDs wanawapromote isivyotakiwa. so mkubwa ukimwona wa hivyo wewe tambaaaa utaumia tu
mpaka tukuone kwanza wenyewe wewe,,,,,,,,,,,,,,,dnt sweat just kidding.Heee mie mbona mzuriiii na nimeolewa?? :rain::rain::rain:
wow!thisi is touching binti amsi.Ni kweli kabisa mimi nikiwa ni mmojawapo huwa tunaringa sana sababu unakuwa na list ndefu huko nyuma inakusubiri so maringo kibao. Kuna msemo mwingine unasema men are like daladala if u miss one another one is around the corner.
Matokeo yake tunaishia kuolewa na wanaume wa ajabu ajabu tena wengine wazee. Maoni yangu sijamsemea mtu nimejisemea mwenyewe
uzuri wa mtu upo kwenye macho ya mtu lkn.Mbona me mke wangu ni mzuri na nimemuoa. We kama unawaogopa ni wewe wengine tumeoa wake wazuri sana hadi tunajikubari. Hao nh watu wa kawaida tu km wengine jaribu kujenga urafiki nao utagundua kuwa hawana utofauti na wengine!
bw mdogo umeingia JF kwa mbwembwe.......................karibu saaaaana.Ndo ikoje?
wanawake wazur wanakua used(second hand) sana.
hey you mambo! hujafanikiwa?ha ha ha nina hako kamsemo subri nikaache mara moja nisije kosa mwanaume
Jamani hako ni kautafiti kadogo tu nilikofanya. Naomba msinishambulie sana wazee wa research. Katika tembea tembea yangu, nimekutana na wanawake wa kila aina. Lakini mara nyingi kila ninayemwona mzuri tena mzuri haswa, nashangaa hajaolewa. Hii imenitokea mara nyingi sana. Siku moja tulikuwa tunaongea na rafiki yangu mmoja kuhusu suala hili, .
Haya wanaJF mnakubaliana na conclusion hiyo, na kama ndivyo, sababu yake ni nini?
Kwasababu kuna wanaume wasiojiamini!
wengi wa hao wanawake wanapopevuka hufwatwa saaana na wanaume wenye pesa na asilimia kubwa ya wanaume wenye pesa ni waume za watu na ili kumnasa kirahisi pesa zitamwagwa hapo ahadi kemkem so utakuta mwanamke kamaliza tu form four tayari ananunuliwa gari na mme wa mtu kapangishiwa nyumba nzima kafunguliwa biashara so kwa dizaini hiyo wewe bachelor uliyemaliza chuo ndo kwanza unaanza kazi na kimshahara cha mwazo ukimpata mwanamke wa hivyo utaishia kuchanganyikiwa tu. waume za watu wengi ndiyo wanaowaharibu hawa wasichana. nna mifano minne ambayo ina support mawazo yangu. sasa hivi kuna dada yupo ofisini nnapo fanya kazi ana t.a.k.o la kufa mtu na ni mzuri kweli hapo alipo salary ni kwa commision lkn anatembelea VEROSA wapo weeengi tu ma meneja directors MDs wanawapromote isivyotakiwa. so mkubwa ukimwona wa hivyo wewe tambaaaa utaumia tu
hii kitu iliahi kunikumba...dada mmoja mzuri haswaaaa....alinichinjia baharini nyie acheni.....nikajipa moyo na kusema mwanaume hazeeki..
nikatulia nikatuma maombi mengine kwa mwinge na mambo yakawa poa na mpaka sasa tunaishi wote....yule aliyenitosa siku hizi amekosa soko kachujuka kama nini....umri umemtupa yaa sasa hivi anaweza kutemba toka Mwenge(dsm) hadi mbagala rangi tatu hajasimamishwa na mtu...chaka mbaya...