Kwa nini wanawake wanapenda sana kutikisa kiberiti?

Jamani huyo achana naye, wa nini mtu kama huyo jamani wanawake wenye upendo wamejaa duniani kibao, yaani kinachokukosti hapo ni kukosa roho ya kijasiriamali, jaribu utaona faida yake. Huyo inaonyesha ana mtu tayari ndio maana wewe sio kipaumbele chake. Narudia tena achana naye.
 
Hapo huna mwanamke anakutest kishambashamba mpige chini huyo jinga ,huo sio uhusiano bali mashindano ya nani kafa kwa mwenzake zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom