Kwa nini wanawake wa kitanzania(hasa dsm) wanapenda wakongo?

hawana vitambi
Kitambi sio guarantee bwana! watanga wanasifika ktk mapenz coz of their nature, c unajua tena watu wa mwambao? wenzetu hawaendi shule bt muda mwingi huwaza juu ya stail mbali mbali za mapenzi, na huzivumbua kweli!
 
hiyo point ya kutoenda shule itoe. kwanza.ina maana makabila mengine yanadharau mila?
 
Kheee naomba nireport mhamishiwe kwa wakubwa maana mmeanza kujadili yanayotuzidi wengine umri!!
Hahahaa! Utayakuta mbeleni. Ndio maana mwenzenu huwa sicheki tamthilia za mapenz, huwa nacheki tutorial coz mwisho wa siku najua tamthilia zinalenga ktk uhusiano waki'tutoria!
 
Back
Top Bottom