Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
mnafiki huyo tena muambie akome na tabia yake mbovu ya kukuambia katongozwa ana mangapi hakuambii ila hilo la kutongozwa tù ndio aje kukuambia?
Mimi nilishawahi kuambiwa hivyo na mchumba wangu, nilipotilia shaka akanambia, kama jamaa angekuwa amekula asingenambia. Lakini mwisho wa siku nilikuja kusitukia demu wangu ana mimba ya jamaa. Meaning kwamba alipokuwa ananambia kwamba jamaa anamtongoza, alikuwa anachukua precaution ili nikiona sms ya huyo jamaa au nikiwaona pamoja nisishituke sana. Kwa kuamini kwamba jamaa anapoteza muda wake. Kwangu mimi mke wangu akiniambia anatongozwa na mtu, haraka naanza kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya mke wangu na mtongozaji.Boss saa zingine huwa inakuwa ni kweli na saa zingine inawezakana isiwe kweli, kuna mwanamke mwingine unakuta anakwambia fulani ananitongoza wakati tayari kaishatembea nae na kuna mwingine atakwambia the same story lakini huyu akifanya hivyo ili hata kama ikitokea una suspicions juu ya huyo mtu inakuwa kama vile tayari alikuwa aliisha ku-alert mapema on the situations kwahiyo sometimes inakuwa kama vile kuchukua precautions mapema lakini the situation is still 50/50.
Mi wangu kila wik lazma atongozwe wakimwomba namba anawapa namba yangu, njemba linapiga cm linakutana na sauti ya kiume linaishia kuuma meno!
Mi wangu kila wik lazma atongozwe wakimwomba namba anawapa namba yangu, njemba linapiga cm linakutana na sauti ya kiume linaishia kuuma meno!
kuna wanaume wanapenda sana kuwabughudhi wake zao kwa swali hili - NANI ANAKUTONGOZA?Ukimwambia kosa! Usipomwambia kosa!
Ushauri kwa akina dada - msilogwe kusema hata siku moja...ukitongozwa fanya ni siri yako.Inaleta amani kwenye mahusiano.Ukisema inakusaidia nini?
Halafu ni utoto kusema vitu kama hivi maana maisha yana mambo mengi na unatakiwa utumie busara kujua lipi la kusema na lipi la kukaa kimya!
Ushauri kwa akina dada - msilogwe kusema hata siku moja...ukitongozwa fanya ni siri yako.Inaleta amani kwenye mahusiano.
Hili huhitaji kulitolea darasa maana kila mtu akili kichwani mwake.Mtu mzima huyo siyo mtoto wa chekechea kumfundisha nini cha kufanya.Si tu ufanye siri. Pia kataa. Sio ufanye siri halafu umchekee chekee na kumkubalia mtongozaji.
Hili huhitaji kulitolea darasa maana kila mtu akili kichwani mwake.Mtu mzima huyo siyo mtoto wa chekechea kumfundisha nini cha kufanya.
Mi wangu kila wik lazma atongozwe wakimwomba namba anawapa namba yangu, njemba linapiga cm linakutana na sauti ya kiume linaishia kuuma meno!