Kwa nini wanaume....................???

Haya wandugu labda mateso na vurugu kwa ndoa hasa hasa kwa miaka ijayo, wengine sisi kwa sasa tumebahatika wake wasio na ushindani wa ki-Beijing kiviiile, na tunajitahidi kuwaheshimu kweli kweli basi nae anakuhudumia kama mtoto.

Kwa nature ya mwanaume watakuwa tayari kuwa watu wa kuoa kila mwaka au mara kwa mara kuliko kufanyishwa kazi na mwanamke, pengine wakaishia kuwa wa hit and run.

Kwa hao wachache ambao wamekubali kuwa up side down, mara nyingi wapo kimasilahi zaidi kama wa kongo, huwezi kuwakuta kwa mwanamke masikini. Na wengine huwa wanafanya mara moja moja.

Wengine wameamua kufuata mitindo ya tamthilia/sinema na mara nyingi ndoa za aina hiyo huwa hazidumu
 
Niliwahi kusikia wanaume ni kama watoto, eti hawakui,
Hata kama alikuwa anajitaidi kujipikia, kujifulia, na kujipigia pasi, kabla hajaoa,
Akishaoa anasahau yote, anarudia hali yake ya utoto, kufuliwa, kupikiwa, kutengewa chakula,
kuandaliwa nguo ya kuvaa achilia mbali kupiga pasi.

Wakati mwingine mpaka akumbushwe kula, akila ataulizwa kama ameshiba,
maji ya kuoga anatengewa, viatu, soksi anasafishiwa, hata kuchana nywele wakati mwingine lazima akumbushwe,

Sijui kama ni kweli lakini kwa mantiki hiyo, inabidi tujifunze kuishi na na ninyi hivo hivo mlivyo.
 
loved the way you finish it...
 
[/COLOR]

loved the way you finish it...

Thanks hc, sometimes hatuna haja ya kushindana sana na ninyi kina baba bwana, manake mi naona
mlishaumbwa hivyo, Tangu mwanzo Mungu alimwambia Eva mwanaume atakutawala na Tamaa yake itakuwa juu yako,

Tujifunze kuikubali hiyo, ukifanya hayo kwa mapenzi ni vizuri pia, lakini ukweli upo pale pale.
Mwanaume ni Mwanaume tu.
 
its crazy kusika mtu anataka mwanaume afanye vitu ambavyo systematically are for women.....
 
Aisee we paka kidogo unikwaze katika hii thread yako.

Kumbe anayelalamika ni Yasinta Ngonyani!

Mwambie akome kuolewa na mgambo wa Kikurya!
 
Back
Top Bottom