Kwa nini wanaume ni wengi katika shoo la Tanzania/ki-Afrika.?

Donyongijape

JF-Expert Member
May 28, 2010
1,497
811
Nimekuwa nikiangalia shoo nyingi za wanamuziki za First world na kulinganisha na shoo zetu hapa TZ na Africa kwa ujumla.

Kitu nilichogundua ni kwamba katika shoo za 'mbele' wanawake huwa wengi sana katika shoo..wanaume unatafuta. Hii ni kinyme na huku kwetu, wanaume huwa wengi zaidi na hivyo akina dada au wanawake wanakuwa wa kutafuta.. Hii pia ni case mpaka kwenye club za starehe za usiku. !

Naomba mawazo yenu wadau, kwa nini hali iko hivi?
 
Tamaduni na nafasi ya mwanamke na mwanaume ktk jamii zetu inachangia sana
 
Back
Top Bottom