Kwa nini wanaume mnapenda kucheza nje ya uwanja (Ndani mnaogopa nini?).

''Hivi unajua kuwa faulo zote za nje hazihesabiwi ????. kazi kwenu.''

uzuri wa away games ni kwamba,
ushindi wake unakuhakikishia kuingia kwenye mzunguko wa pili,
Hata ukicheza rafu,kadi nyekundu si rahisi kutolewa!!!!!
 
3.Hivi unajua kuwa faulo zote za nje hazihesabiwi ????. kazi kwenu.

Hii kweli kabisa
 
mhhhhhhhhhhh
sijaona aliyetoa sababu kwa mujibu wa muuliza swali japo alitumia mafumbo mengi mpaka akalazimika kuweka wazi
 
Back
Top Bottom