Kwa nini Wanaume Hatuitani Majina Haya??

Ukimuita mwanaume mwenzio majina hayo basi juwa aidha ''waliwa'' au uko mbioni ''kuliwa'' na wanaume wenzio......kina mama huitana vile wao kwa asili ''huliwa'' na wanaume

Ngoja nikifika kwenye pc nitakugongea like. Wanawake wanaitana hivyo kwa sababu asili yao ni kuliwa. Ova
 
Ukimuita mwanaume mwenzio majina hayo basi juwa aidha ''waliwa'' au uko mbioni ''kuliwa'' na wanaume wenzio......kina mama huitana vile wao kwa asili ''huliwa'' na wanaume

Kumbe yanaendana na "kuliwa"...
 
Asanteni kwa hili.
Kuna baba mmoja hapa kwetu
Huwa anaita wanamme wenzie 'Dear"
Basi mie huwa inanichoma maskio, yuccky.
 
Wanaume wanaitana Kaka kila mahali ila wanawake kuwasikia wakiitana dada ni nadra!!
 
Asanteni kwa hili.
Kuna baba mmoja hapa kwetu
Huwa anaita wanamme wenzie 'Dear"
Basi mie huwa inanichoma maskio, yuccky.

Lakini mbona kwenye official letters zilizoandikwa na mwanaume kwenda kwa mwanaume mwingine wanatumia "Dear"? Dear is a formal way of addressing somebody at the beginning of a letter or email.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom