Kwa nini wanashindwa kuongea live?

Kama mmezoeana kuongea inakuwa sio tabu na wala sitoona tabu kuongea,ila kama ndio bado hamjuani yeah ni bora kuchukua number tu then vingine vitakuja pole pole....
 
lazima kumtazama machoni kuona kama unadanganya.
tatizo la wakaka macho yenu mnakodolea kifuani tu!

kifua kinaangaliwa from a distance (wakati unaisogelea target) ukishaifikia target
unakuwa umekwishaamua kama umtokee mrembo au umkaushie lol
 
Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?

unajua kuna uzuri kati ya matamshi na maandishi,katika uchunguzi wangu,mwanamke kwa matamshi ni mara moja kukutoaa njee kuliko maandishi,hata kama anakutaka,uzuri wa sms m.ke anaposoma inakuwa inamungia katika filing moja kwa moja,na ni rahisi kufanikiwa zaidi na hasa munapoonza mahusiano,pia mazoeyano kwa sms.

Kwa matamshi inakuwa ni vigumu kumko vince mwanamke,kutoka zile hisia za mapenzi kumuingia inachelewa,anaweza m.me kukubaliwa au kukataliwa au kuambiwa atajibiwa baada ya siku.

Pia kuna jengine,mtu munapokuwa na mazoeya sana kiukweli hasa kama anakuja kukupenda au kumpenda unaweza kushindwa kumwambia,hilo haliiihitaji tochi,,,,so pengine ndio kaona atumie njiia hiyo ya simu,,,

mkubalie tu loooooool
 
Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?

Wewe huwa unaongeaga live?
 
Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?

kama vipi, angalia topic ya "differance between love and like"
 
Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?
Dadaa kama wanaume wanafanya hivyo kwako sio jambo baya!Sisi asilimia 90 tunataka shavu tu,tukinogewa sana tunahalalisha!hivyo basi,mdada akiwa rafiki yako au ukijua anajiheshimu sana,hizo ndio gia!..lakini machangu tunaenda straight!!!
 
Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?

Kuna wanaume pia wameumbwa na uso wa aibu
Tunawaita DOMO ZEGE
 
Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?

ni aibu na kutokujiamini katika choice za hisia zao, na mazoea yanatabu.
 
Kutongoza live rahisi sana,mwandae mwanamke wengi wanataka ndoa,we mpromise ndo ila focus kwenye lengo lako la kuchapa then mtengenezee zengwe
 
First lady@2pe bac hayo mazingira yaku andaa hisia ilitupate TOTOZ simple
 
mbona kwenye 6x6 hakunaga aibu?

Ulishawahi kuona mchezaji uwanjani anacheza mpira kwa aibu? Kabla ya kuingia uwanjani anaweza kuwa na woga wa kucheza dhidi ya timu nyingine kutokana na ubora wake, lakini akishatinga dimbani, mpira ni mmoja tuu. Tofauti kubwa hapo, ni kwamba kwenye 6x6 hakuna refarii au washika vibendera. Ni fair play, japokuwa mchezaji anaweza kufunga goli la offside kutokana na jinsi alivyokuwa amepania kuifunga hii timu bora. Na kama timu anayocheza nayo ni bora sana, basi huyo mchezaji atataka kudhibitisha kuwa yeye ni bora zaidi. Na akidhibitisha tuu, lazima hiyo timu bora iombe mechi ya marudiano.
 
Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?
Ukiwa mbali unaona msitu, lakini ukishaingia msituni unaona miti na si msitu tena...
 
Kwani nini wawe DOMO ZEGE wakati najua wenzao ni ZOMO ZEZE?
Kutongoza hakuna fomula... Kwani hao DOMO ZEGE huwa hawamegi? Hata hao wa domo zeze nao hawawezi kutumia njia zingine. Kuna sms, kadi au kila nikikuona nageuza njia lakini nahakikisha umeniona, at kila nikikuona nakukonyeza e.t.c suala ni kuvuta atension yake. MBONA MABUBU NAO HUWA WANACHAPA/CHAPWA NA WASIO MABUBU?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom