GM7
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 492
- 24
Jamani, jamani, jamani. Hebu tuangalie na tufikiri na tutafakari kwa kina juu ya suala hili na kwanini wameamua kufanya hivyo. Athari zake hatuwezi kuziona sasa hivi, lakini utashangaa hapo baadaye mambo yanavyobadilika kwa mfano utashangaa unaomba kazi serikalini matokeo yake unakosa eti kwa sababu ulikipigia kura chama fulani.
Utaratibu wao wa kunakili namba ya kitambulisho changu kwenye karatasi za kupigia kura maana yake inajulikana kuwa nani kampigia kura nani, ila si kwa wale waliopo kwenye kituo cha kupigia kura.
Labda niulize swali lifuatalo ambalo litaondoa utata huo:-
Je, yale makaratasi ya kupigia kura mara baada ya kuhesabiwa kwa kura HUPELEKWA WAPI??????, Je, wanayahifadhi sehemu fulani? au yanachomwa moto?
Majibu tarajiwa:
Kama huhifadhiwa sehemu fulani au hupelekwa sehemu fulani basi huko ndio utakakojulikana ulimpigia kura nani.