Kwa nini wanaolia kwenye msiba ni wanawake peke yake

Siyo tu kulia Misibani bali hata kushangilia sana kwenye sherehe kama vile harusi, mahafali, sikukuu za kuzaliwa na nyinginezo. hii inatokana na wanawake kuwa na vionjo na hisia zaidi kuliko wanaume!.
Aiseee, ni kweli kabisa, hata kushangilia wao wanaji-exclude kabisa, thanks kwa nyongeza
 
Kuna wanaume wanalia...nilishawahi enda msiba huyo kaka alifiwa na mkewe mtarajiwa a week before harusi yao. Yule kaka alilia mpaka akazimia. So si kwamba wanaume hawalii completely misibani. Inatokea cases hulia pia.
Ni kweli bwana yaani hawa wanachagua matukio ya kulia, ila mazingira hayo asipolia ujue ana shida moyoni na unaweshangaa anadondoka na kuzimia ghafla
 
Crying-man1.jpg
Khaaa, kweli machungu hayajali tai!
 
ukilia unaondoa machungu then unasahau ila ukilia ndani kwa ndani uchungu unajilundika mwishowe unaugua vidonda vya tumbo, kisukari, shinikizo la damu n.k
Ni kweli bwana better ulie kuondoa machungu
 
Wanawake wanabeba mimba miezi tisa pamoja na adha zote za mimba hiyo. Kisha huzaa kwa uchungu au kwa kukatwa matumbo yao na wanauguza vidonda bada ya kuzaa. Hivyo basi wao ndio wana uchungu wa kumpoteza binadamu ambaye walimbeba miezi tisa, na kumzaa kwa uchungu na kuuguza kidonda baada ya kumzaa.
Heri ya mwaka mpya wana jf woote

Mara nyingi nimekuwa najiuliza maswali mara niendapo kwenye msiba, wanawake huwa wanaliiiia kwenye msiba hata kama aliyekufa hawamjui, mwanamke atalia kwa uchungu na makamasi yatawatoka, lakini wanaume utawaona wapo tuu wanahangaika kufunga maturubai na kazi zingine.

Hivi umewahi kujiuliza kama mimi ni kwanini wanaume hawalii kwenye msiba?

Au kama kuna wataalam watujuze ni kwanini hasa, whyyyyyyy!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom