nasema ivyo coz elimu yetu ya kibongo na wezentu ni tofauti coz cc 2nasoma mambo mengi ambayo baadaye hatuyafanyii kazi wakati wenzetu huwa wanasomea k2 kimoja ambacho ktamuwezesha baadae.
ulikuwa unaandika journal, masters au phd??? any way rudi field tena au post kule face book!!!!kutokana na utafiti wangu nimeona wanafunzi wengi wanasoma sana wakati wa mitiani kwanini?nisaidieni kujibu.