Kwa nini wanafunzi wengi wa kitanzania wanapenda kusoma sana kipindi cha mitahani?

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
kutokana na utafiti wangu nimeona wanafunzi wengi wanasoma sana wakati wa mitiani kwanini?nisaidieni kujibu.

Wanafunzi wengi wa Kitanzani. Dhidi ya wanafunzi wa Nchi gani nyingine uliyoihusisha kwenye tafiti zako?
NWAY! Kiujumla! angalia serekali yetu. Kuna Mtu ana uelewa pale? Wote ni matunda ya kuegeshea na kumwaga kwenye mtihani ... Hakuna uelewa! Uelewa wenye kujenga utatuzi wa matatizo kwenye mazingira ya msomi huyo ....mf umeme nk !

So wanafunzi wa kitanzania.. tu! on my experience nimesoma darasa likiwa na wanafunzi wa nchi mbalimbali... huwa tunakuwa serious kipindi cha exams peke yake

Umebuni.....we ni mkenya kwani unasema uongo au ulikosoma basi wote mlikuwa maboya tu na mnasomea mitihni

Kusoma si kazi kazi ni kusomesha!
Kwanini wazazi wengi wa Kitanzania huhangaika kusaka ada pale shule zinapokaribia kufunguliwa?

Wanafunzi wengi wa Kitanzani. Dhidi ya wanafunzi wa Nchi gani nyingine uliyoihusisha kwenye tafiti zako?

NWAY! Kiujumla! angalia serekali yetu. Kuna Mtu ana uelewa pale? Wote ni matunda ya kuegeshea na kumwaga kwenye mtihani ... Hakuna uelewa! Uelewa wenye kujenga utatuzi wa matatizo kwenye mazingira ya msomi huyo ....mf umeme nk !

Dhidi ya wanafunzi wa ki danish na ki japan.

Umebuni.....we ni mkenya kwani unasema uongo au ulikosoma basi wote mlikuwa maboya tu na mnasomea mitihni

Ni kweli, wabongo huwa wanaTHOMEA mitihahi tu msimu wa mitihani ukipita tunabanana nao kwenye THituli ndefu.

kutokana na utafiti wangu nimeona wanafunzi wengi wanasoma sana wakati wa mitiani kwanini?nisaidieni kujibu.

Haya mambo mi nasemaga muyawekage kule facebook, yahani we unaweka hapa hoja hii? Jiulize kwa nini kampeni zinafanyika sana pale karibu na uchaguzi? kwa nini mwanaharusi mtarajiwa anajilemba pale karibu na harusi? kwa nini maji yanapotangazwa kukatika watu wanachota sana? kwa nini watu wakijua umeme unakatika wanajoosha sana nguo nk? Kwa nini timu za soka zinafanya sana mazoezi mechi ikikaribia? Sasa kusoma karibu na mtihani kwani kunaajabu sana? na ndo maana ratiba inatangazwa mapema ili watu wafanye maandalizi.

We unasema utafiti, unaelewa maana ya utafiti? tuambie data umekusanya lini na wapi? Umetumia methodology gani kuanalise data zako? weka sample hapa tuone. Halafu kwa taarifa yako hata huko nje ya tz wanasoma sana wakati wa mitihani na sio watz tu!Sisi tumesoma huko na tunajua usitake kutudanganya hapa. Msiwe mnakurupuka tu na kuandika hoja kama sivyo kairushe facebook

Uliofanya c utafiti mkuu bali what you wrote is what you see katika jamii yako na yetu kwa ujumla,as a researcher na kama kweli ulichofanya nilitaraji kuona
@utafiti huo umefanyika wapi
@sample ikoje
@dependent and independent variables ni zipi
@result interms of % kwamba wangapi waliagree kuwa WANAZIMA MOTO and vice versa
@na kama kweli ni utafiti umefanya lazima utakuwa umepata jibu tayari sasa sisi unatuuliza unataka tukupe majibu gani tena? Karibu katika chuo chetu ambacho research ni backbone ya degree unayosomea

Kwasababu wanahisi watakumbuka majibu kwa urais anapokuwa kwenye mtihani kumbe wanajidanganya ni kujichanganya tu.maandalizi mapema siku ya mtihani ni kurelax.dats all

Wanafunzi wengi wa Kitanzani. Dhidi ya wanafunzi wa Nchi gani nyingine uliyoihusisha kwenye tafiti zako?
NWAY! Kiujumla! angalia serekali yetu. Kuna Mtu ana uelewa pale? Wote ni matunda ya kuegeshea na kumwaga kwenye mtihani ... Hakuna uelewa! Uelewa wenye kujenga utatuzi wa matatizo kwenye mazingira ya msomi huyo ....mf umeme nk !
nasema ivyo coz elimu yetu ya kibongo na wezentu ni tofauti coz cc 2nasoma mambo mengi ambayo baadaye hatuyafanyii kazi wakati wenzetu huwa wanasomea k2 kimoja ambacho ktamuwezesha baadae.

nasema ivyo coz elimu yetu ya kibongo na wezentu ni tofauti coz cc 2nasoma mambo mengi ambayo baadaye hatuyafanyii kazi wakati wenzetu huwa wanasomea k2 kimoja ambacho ktamuwezesha baadae.

siku nyingine fikiria kabla ya kuleta mada humu yote uliyoandika hayana kichwa au lete sababu zako

hapa unaelezea nini tena kama si pumba tupu?

Back
Top Bottom