kwa nini walimu wa Kenya wanagoma wakati serikali imekimbilia mahakamani

nkisumuno

JF-Expert Member
May 22, 2012
208
72
Wadau naomba kufahamishwa kwanini walimu wa Kenya wanaendelea na mgomo hata baada ya serikali kukimbilia mahakamani? Na walimu wa Tanzania walirudi kazini hata kabla ya rais wa chama chao kutangaza kurejea kazini. Mara baada ya mahakama kutangaza ubatili wa mgomo. Tofauti yake nini?
 
wananchi wa Kenya wote ni wanajeshi,hapa tz tatizo wananchi wengine ni wanajeshi,wengine polisi na wengine mgambo.
 
Back
Top Bottom