Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,384
- 4,409
Sababu kubwa inatokana na uaminifu wao, kwa mfano hili sakata la EPA,Wafanya Biashara wenya asili ya kihindi walitumiwa tu na vigogo wakubwa sana wa nchi hii na wahindi wakapewa percent yao tu!
Kwa nini vigogo hawapendi kuwapa deals wafanya biashara wazawa kama Mengi na wengine wote wanaojifanya wapambanaji wa ufisadi wakati ni wanafiki wakubwa!..Jibu ni kuwa hawana uaminifu hata kidogo, wanapopewa dealz kama hizo mara nyingi huwa wanataka kuchekechea feza zote....Hii ndio sababu Mengi akaanza kuwaita wenzake mafisadi papa wakati yeye ni nyangumi mkubwa