Kwa nini wadada mkipewa lifti, mnatoa namba hata kama hamjaombwa?

Uajenti wa shetani unakujaje? Niko kwenye Gari sketi inapanda, nifanyeje? Traffic kanusimamisha mimi nilijua ananikagua; kaomba nimsogeze mbele.

So Mungu alivyowaumba Adamu na Hawa wakiwa watupu, alikosea eeh!

kuna namna ya kuelezea tukio la bahati mbaya.
Wewe unaonekana kufurahia kuweweseka kwa huyo trafiki, ndo maana ukasema 'mpaka raha'
huko ni kuwa wakala wa shatwayn, si kusudi la binadamu kutumika na Ibilisi, wengi wetu imeshatutokea.
Ila mwenzetu unaifurahia hali hiyo...
I take my part kama mlokole mtarajiwa kukushauri uikemee roho ya yule mwovu.
Oops... Kumbe sio jukwaa la dini?
 
Wengine huenda mbali.............atarekebisha siti......ataongeza AC........Atakunjua light shades ajiangalie kwenye kioo........atapungia nje....basi balaa tupu

ww unachokifanya kumchafua na kumdharau Askofu Kakobe itakutokea puani, inaonesha hata baba yako haumuhesimu ndio maana haujui hata thamani ya mtumishi wa Mungu, usipotubu utaangamia
 
ww unachokifanya kumchafua na kumdharau Askofu Kakobe itakutokea puani, inaonesha hata baba yako haumuhesimu ndio maana haujui hata thamani ya mtumishi wa Mungu, usipotubu utaangamia

Kwani Kakobe maana yake nini?
Au labda nikuulize Kambuzi maana yake ni nini?
Baba yangu anakuhusu nini?
Umeona nimetaja Askofu mimi?
Sina cha kutubu na wala sintoanagamia kwa vitisho vyako!
 
Back
Top Bottom