kwa nini wabunge isiwe kama madiwani?

regam

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
269
51
Kwenu wana jf. Hivi kwa nini wagombea ubunge wasiwe kama ilivyo kwa madiwani kwamba lazima wawe wakazi wa eneo wanalogombea? Nadhani hii itaongeza ufanisi katika utendaji wao badala ya hali ya sasa wote wamejazana mijini na kukimbia majimbo yao. Wanaonekana huko kipindi cha kuomba kura. Nadhani hili linaweza kuwa ni moja ya pendekezo katika mabadiliko ya katiba yetu.
Nawasilisha!
 
Ni vigumu! Hata madiwani wengine wanatoka mijini kwenda kuwania hivyo viti huko vijijini!
 
Back
Top Bottom