Kwa nini waafrika wengi wako conservative mno kimapenzi

I think kwa huyo mzungu wako you are nt married but you are there as prostitute thats why he pays you 2000$ daily, car, etc, afu koma kututukana wananaume Waafrika, we know how we drive ou love relatinions, thats why hata babako ambae ni mwafrika aliwezana na mama yako.
<br />
<br />
Kweli bidada katuvua nguo hadharani mkuu, na kasahau kuwa na baba yake ni mwafrika na alimuweza mamaake, analaana maturubai huyo binti...
 
Maisha gani haya, anakufanyia kila kitu wewe kazi yako kuosha tu .... hapana aisee hiyo sio sifa
 
Write your reply...Kama ni mwanamke wa kiafrika kumbuka home is the best.Go east or west but home is the best.Na anayepadharau kwao ni mtumwa.Acha ulimbukeni.
 
Mimi ninashangazwa sana kuona. Utakuta watu wanapenda mapenzi ya ndani . Nimeolewa na mzungu na kusema ukweli wanaume wa kiafrika wako nyuma sana sana . Hapa nilipo nimesahau jiko lilivyo nafuliwa nguo naletewa coffee asubuhi napewa dollar 2000 allowance yakuwa mke .kokote pale nilipo nipo na mume wangu . Halafu mwanaume wangu hajawahi hata siku moja kuniambia nifanye kazi .Anahakikisha naendesha gari la dhamani na kudumu kila ijumaa anaosha na kujaza mafuta gari. Anaingia yeye jikoni sio mimi. Sijaona mwafrika akifanya hivyo kwa nini?
basi vizuri baki huko huko kwa mzungu wako na wadada wengine wanaotaka hivo wasiolewe na sis waje kwa wazungu tu....mimi hata kama ntakuwa sio conservative bado kuna line.....ntakupenda ntakudekeza ila sio kwa upuuzi fulani ....jiko hulijui kama tunaenda out...la sivyo napenda chakula alichopika mke wangu and jiko lazima ulijue tu....sisemi zaid il all the best with the mzungu......
 
Mimi ninashangazwa sana kuona. Utakuta watu wanapenda mapenzi ya ndani . Nimeolewa na mzungu na kusema ukweli wanaume wa kiafrika wako nyuma sana sana . Hapa nilipo nimesahau jiko lilivyo nafuliwa nguo naletewa coffee asubuhi napewa dollar 2000 allowance yakuwa mke .kokote pale nilipo nipo na mume wangu . Halafu mwanaume wangu hajawahi hata siku moja kuniambia nifanye kazi .Anahakikisha naendesha gari la dhamani na kudumu kila ijumaa anaosha na kujaza mafuta gari. Anaingia yeye jikoni sio mimi. Sijaona mwafrika akifanya hivyo kwa nini?
sasa waafrica c wajanja utaanzaje kumuweka jikoni dume la kiafrica pasipo na sababu y msingi,

unauma? no,

upo busy? no,

Khaa sasa tatzo nn?
 
Mimi ninashangazwa sana kuona. Utakuta watu wanapenda mapenzi ya ndani . Nimeolewa na mzungu na kusema ukweli wanaume wa kiafrika wako nyuma sana sana . Hapa nilipo nimesahau jiko lilivyo nafuliwa nguo naletewa coffee asubuhi napewa dollar 2000 allowance yakuwa mke .kokote pale nilipo nipo na mume wangu . Halafu mwanaume wangu hajawahi hata siku moja kuniambia nifanye kazi .Anahakikisha naendesha gari la dhamani na kudumu kila ijumaa anaosha na kujaza mafuta gari. Anaingia yeye jikoni sio mimi. Sijaona mwafrika akifanya hivyo kwa nini?
Una matatizo tena makubwa sn ht huyo mzungu muda si mrefu atakuzingua, unachekelea tuu kufanyiwa km maiti Aah bwana jiongeze
 
Back
Top Bottom