Kwa nini waafrika wengi wako conservative mno kimapenzi

Itakuwa siyo US....plus,inaonyesha wazi kabisa unachukia wanaume wa kiafrika in general.Kwa sababu wazungu wengi ni very conservative,waarabu,wahindi,wachina...most people are conservative.
angeolewa hata na mchina ...al in all ni kuwa lazima agawe penzi nje...hiyo ni lazima 100%
 
umeolewa na mzungu kusema kweli wanaume wa kiafrika wako nyuma, WAPI ULIFANYA ULINGANIFU WA HIYO HALI UKAPATA JIBU HILO? UMEISHAA WAHI KUOLEWA NA MWANAUME WA KIAFRIKA..? ACHA KUTOA MAJIBU YA KUKISIA
 
Yoyo! Acha ushamba kama Teamo alivyokwambia. Ndiyo maana uliachika na mwafrika kwa sababu ya tamaa zako na kupenda mambo makuu na ndicho kinachowaponza wanawake wengi hawajui nini maana ya mapenzi (utumwa) kuwa mtumwa utafanya hata ambayo hukuagizwa ili umpendeze bwana wako na mbona hausemi kuhusu sisi wakina bushoke tunayefanya kila kitu kwa sababu tu ya kumpenda mpenzi wako eti wathungu hebu nenda zako huko! Unatuchanganya hapa
 
Hongera kwaku2habarisha jinsi unavyolishika masikio na kulirusha kichura hilo limaembe lako,alafu xcuse, usirudie tena ku2tukana,nasalamu hizo hakika ntawafikishia baba,kaka,na dada zako wote walio olewa na wafrika coz sidhani wote mmeolewa ughaibuni!
 
Mimi ninashangazwa sana kuona. Utakuta watu wanapenda
mapenzi ya ndani
.

Sasa ulitaka wapende mapenzi gani?

Nimeolewa na mzungu na kusema ukweli wanaume wa kiafrika wako nyuma sana sana .
Hapa nilipo nimesahau jiko lilivyo nafuliwa nguo naletewa coffee asubuhi napewa dollar 2000 allowance yakuwa mke .kokote pale nilipo nipo na mume wangu . Halafu mwanaume wangu hajawahi hata siku moja kuniambia nifanye kazi .Anahakikisha naendesha gari la dhamani na kudumu kila ijumaa anaosha na kujaza mafuta gari. Anaingia yeye jikoni sio mimi. Sijaona mwafrika akifanya hivyo kwa nin?

Sasa wewe hapa dunani unafanya nini kama huwezi kufanya chochote? Mimi ningejichukia sana kuona natendewa kama mlemavu wa viungo na akili!

Labda inawezekana ulikuwa kipofu wa mawazo na kuolewa na mzungu kumekufanya uone mambo ambayo hukutegemea kabisa kutokana na upofu wako wa mawazo wa awali..

Hata nashindwa kumuelewa anapata wapi nguvu na ujasiri wa kuja kutueleza hapa mambo ya aibu bila kuona aibu!

Unaendelea kuonyesha kupenda kufugwa kama kuku ndiyo maendeleo. Huoni ubaya kuuza utu wako na uwezo wa kujikidhi mwenyewe. Haya ndiyo maendeleo? Mimi nilifikiri maendeleo ya wanawake ni kudai usawa na wanaume, au mnataka usawa kwenye haki lakini kwenye kufanya kazi hamtaki?

Kila mtu anatakiwa aonyesha kwanini kaumbwa na yuko duniani.Kula na kulala kama kuku wa kisasa...bora hata huyo kuku anafugwa na kuchinjwa, kuliwa au kuuzwa!

Siwafichi mwanaume wangu anataka kuwa na mimi all the time .kuna housekeeper anasafisha nyumba ila mimi nimesahau hata kupika

Anataka halafu iweje au ikawaje? Ona aibu kidogo! Mbona hujasema anarudi nyumbani pia kukuogesha na kukuvisha au huyo housekeeper ndio anafanya hiyo kazi?

umeolewa na mzungu kusema kweli wanaume wa kiafrika wako nyuma, WAPI ULIFANYA ULINGANIFU WA HIYO HALI UKAPATA JIBU HILO? UMEISHAA WAHI KUOLEWA NA MWANAUME WA KIAFRIKA..? ACHA KUTOA MAJIBU YA KUKISIA

Na aliyemwambia kila mtu anapenda maisha ya ukupe nani? Nina mashaka na hadithi yake huyu mtu na huenda kafanyiwa kitu kidooogo tu na kwa ulimbukeni anakikuza akidhani itampandisha chart!

Yoyo kwa taarifa yako hata wale multi-billionaires wanafanyia kazi utajiri wao japo wangeweza kula na kulala tu maisha yao yote.Nadhani ulishamsikia Bill Gates... google uone jinsi yeye na mkewe Melinda wako busy.Ndio KIPIMO CHA UTU!
 
Mimi ninashangazwa sana kuona. Utakuta watu wanapenda mapenzi ya ndani . Nimeolewa na mzungu na kusema ukweli wanaume wa kiafrika wako nyuma sana sana . Hapa nilipo nimesahau jiko lilivyo nafuliwa nguo naletewa coffee asubuhi napewa dollar 2000 allowance yakuwa mke .kokote pale nilipo nipo na mume wangu . Halafu mwanaume wangu hajawahi hata siku moja kuniambia nifanye kazi .Anahakikisha naendesha gari la dhamani na kudumu kila ijumaa anaosha na kujaza mafuta gari. Anaingia yeye jikoni sio mimi. Sijaona mwafrika akifanya hivyo kwa nini?
labda unampa sodoma
 
mme wangu mwafrica na ananisaidia kazi za ndani na mambo mengi ambayo wanaume wengi hawayafanyi, does it mean yeye ni mzungu? mi nafikiri haya mambo yanategemea mtu na mtu na backgroud ya malezi yake na upendo wa dhati alionao kwako.
kwa mfano wanaume wengi ni wavivu kufanya kazi za ndani lakini ni watafutaji wazuri na matunda hushare na mke wake, iyo pia ni njia moja wapo yakuonyesha upendo kwa mke, sio lazima kazi za ndani lol!
 
Mimi ninashangazwa sana kuona. Utakuta watu wanapenda mapenzi ya ndani . Nimeolewa na mzungu na kusema ukweli wanaume wa kiafrika wako nyuma sana sana . Hapa nilipo nimesahau jiko lilivyo nafuliwa nguo naletewa coffee asubuhi napewa dollar 2000 allowance yakuwa mke .kokote pale nilipo nipo na mume wangu . Halafu mwanaume wangu hajawahi hata siku moja kuniambia nifanye kazi .Anahakikisha naendesha gari la dhamani na kudumu kila ijumaa anaosha na kujaza mafuta gari. Anaingia yeye jikoni sio mimi. Sijaona mwafrika akifanya hivyo kwa nini?
Sina uhakika kama unajitambua!Unless uwe unatania!
 
umenishangaza sana yoyo,
unless otherwise unatuchezea akili tu hapa,
si unajua tena majitu hayachelewi kubadilisha ID na kuja na hoja zao ziso na mashiko,
watu kama sie tunakupotezea tu............................................
 
Mume wangu ana law firm na ni kweli kila lunch lazima arudi nyumbani kuhakikisha nimela hata friji ananifungulia . Sidanganyi ni kweli mnashangaaa.

JF ina mambo kweli, sasa wewe umeona hii ndo sehemu ya kujifagilia eti,
 
Wewe unalingia vya kupewa???? Unaona rahaaaaa kukaa home mguu juu na kupewa 2000. Tuko tofauti kwani kwetu wengine kazi ni hobby pia. Kuhusu ubora kati ya wadhungu na waafrika huo ni mtazamo wako na unaonyesha ni jinsi gani huamini uamuzi wako wa kuolewa na mdhungu ndio maana unajiongelesha tujue faida upatazo. Mbona wanawake wa kidhungu wanawalilia hao kaka zetu.
 
yoyo umeathirika na udhungumania, fika 50 afu uje uongee haya...afu hayo mambo ya kushikwa sehemu mbaya mbele ya watu unayapenda?au ulikuwaga magoti...
 
Wahenga wetu sisi waswahili walisema! Aisifiye Mvua! ................. We dada yoyo Pole sana, yaani wewe unafurahia kwamba una maisha kuwa usifanye kazi?? Inama ufikiri. na kujisifu na kututukana wanaume wa kiswahili umemjulisha na baba yako!! sasa sijui hapo vipi !!! jamani nisaidieni. kwa ninavyojua mimi ukimtukana mzazi = lana. Dah Mi mchanga wa pwani huuooo!
 
Mume wangu ana law firm na ni kweli kila lunch lazima arudi nyumbani kuhakikisha nimela hata friji ananifungulia . Sidanganyi ni kweli mnashangaaa.
na unapenda hiyo hali? Huoni kama ni uwehu?
 
Mimi ninashangazwa sana kuona. Utakuta watu wanapenda mapenzi ya ndani . Nimeolewa na mzungu na kusema ukweli wanaume wa kiafrika wako nyuma sana sana . Hapa nilipo nimesahau jiko lilivyo nafuliwa nguo naletewa coffee asubuhi napewa dollar 2000 allowance yakuwa mke .kokote pale nilipo nipo na mume wangu . Halafu mwanaume wangu hajawahi hata siku moja kuniambia nifanye kazi .Anahakikisha naendesha gari la dhamani na kudumu kila ijumaa anaosha na kujaza mafuta gari. Anaingia yeye jikoni sio mimi. Sijaona mwafrika akifanya hivyo kwa nini?
Ole wako siku umkosee! Utajuta! Wapo kama majini (angalia movie ya A THIEF FROM BAGHDAD).
 
sishangai, hawa ni wale toka wakiwa na umri wa miaka 5, walikuwa wakijiongelesha "nikiolewa na mme tajiri nita enjoy' yaani hawajui kupangilia maisha yao wenyewe. Siku mkataba ukiisha kwa huyo mzungu wako, usitutafute. Hatukutaki tegemezi na mzigo kama ww.
 
Back
Top Bottom